Bei imeshashuka kule yanapotoka jinga kabisa wewe.
Jiulize swali moja tu, kati ya Mwigulu Nchemba na Dr Charles Kimei Nañi mwenye uwezo wa kuwa best waziri wa fedha?Kwa kweli they need to think about it.
Kodi na mitozo hii hatuwezi
Eee bhana eee !!Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi.
Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya kuratibu na kufanya maandamano makubwa nchi nzima yasiyo na kikomo kupinga maisha magumu na hizi tozo za kipuuzi.
Ni muda mufafaka Sasa Kwa Watanzania tuungane tuweke vyama pembeni, dunia nzima maandamano yenye mafanikio ni ya kiraia siyo ya vyama vya Siasa, nguvu mnayoitumia kwenye Simba day na Yanga day tukiunganisha pamoja kukataa kuswagwa kama Ng'ombe kwenye nchi yetu, Mwigulu ataachia mwenyewe ofisi ya umma na mama atasikia kilio chetu.
Uamuzi ni wetu tuendelee kuwekeza kwenye ujinga na mambo yasiyokuwa na Tija kama lete mzungu au tuchukuwe hatua Sasa.
Kama hatuwezi kuchukuwa hatua Sasa tukae kimya jumla tuache ulalamishi tuache serikali itekeleze ilani ili ituletee maendeleo na watu wote tukae kimya.
Sasa nakaribisha maoni na ushauri namna ya kuratibu maandamano nchi nzima kupinga maisha magumu, hili linawezekana timiza wajibu wako, hili vuguvugu likipamba moto na wakaona tupo serious watarekebisha tatizo kabla ya maandamano makubwa nchi nzima.
Jiulize swali moja tu, kati ya Mwigulu Nchemba na Dr Charles Kimei Nañi mwenye uwezo wa kuwa best waziri wa fedha?
Ndio utapata majibu Mwigulu hayuko hapo Kwa akili ya wananchi Bali wana mikakati yao kabambe ya kukusanya pesa Kwa malengo yao na siyo malengo ya nchi.
Hivi akili zenu huwa mnafungia kabatini? Ikiongelewa demokrasia hamtaki kufananishwa na Kenya na IPO East Africa, Ila likija swala Bei ndio mnataka kujifananisha, huwa mnatumia akili zipi?Acha matusi basi
Uwez kuongea bila matusi?
Huko ambako bei imeshuka ndio sehemu ambayo serikali inanunua?
Huko ambako imeshuka wanawauzia Africa?
Unataka kusema kwa east Africa ni Tanzania Tu ndio bei Iko juu?
Lete fact Acha matusi hapa sio Facebook
Ungekuja na jina lako kamili ungeeleweka zaidi
Kuhamasisha maandamano kwa ID fake ni umbwiga
Kwanza matumizi ya hili neno; "kulamba asali" watu mnalitumia bila uthibitisho wowote, siamini kama yupo yeyote kati yenu anayeweza kuleta ushahidi akiambiwa athibitishe huko kulamba asali kwa hao viongozi.Hakuna mwanasiasa ambaye Unaweza kumtaja wote hao hawastahili ndio maana sasa hivi wanalamba asali iwe ccm au chadema ukombozi kamili unakuja wewe binafsi ukiamua usidanganyike na wanasiasa siku zote Wanasiasa wanatumia matatizo ya wananchi kupata madaraka lakini wakishaingia madarakani ndio utaona rangi zao halisi
Unapozungumzia "kafara" kwenye andiko lako unamaanisha kwamba uwepo wa serikali iliyopo madarakani unategemea nguvu za giza? na unaendelea kukiri kwamba hizo nguvu za giza zina nguvu sana mpaka umekatishwa tamaa!Tulijaribu hapo nyuma kuona namna salama ya kutengua hizo kafara tulikuwa kikundi cha watu saba hivi, tukaanza mchakato tukawatafuta wazee wenye kujua hili tangu asili yake.. Tulichokutana nacho ni kukatishwa tamaa kwa kiwango cha kutisha mno.. Na tusingeweza wwnyewe kwenda front bila msaada wao.. Niseme tu kwamba hizi kafara zinaishi na bado zina nguvu sana kwakuwa zinahudumiwa vizuri sana...!
Niandikapo haya wenzetu watatu wameshafumba macho..[emoji24]
OK sawa ila kuna siku utakuja kuikumbuka hii post.. Najua ninachokiandika denooJUnapozungumzia "kafara" kwenye andiko lako unamaanisha kwamba uwepo wa serikali iliyopo madarakani unategemea nguvu za giza? na unaendelea kukiri kwamba hizo nguvu za giza zina nguvu sana mpaka umekatishwa tamaa!
Sikubaliani na hicho ulichoandika hapo juu, naamini wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, na hakuna marefu yasiyo na ncha.
Hao wanasiasa unaowaamini ndio walisema kuwa Lowassa ni fisadi na wanaushahidi na Ufisadi wake waliofanya lakini hao hao ndio wakamkaribisha kwenye chama chao na wakampa na ugombea wa uraisi kabisa narudia Tena usimuamini mwanasiasa yoyote kutatua matatizo yakoKwanza matumizi ya hili neno; "kulamba asali" watu mnalitumia bila uthibitisho wowote, siamini kama yupo yeyote kati yenu anayeweza kuleta ushahidi akiambiwa athibitishe huko kulamba asali kwa hao viongozi.
Nasisitiza bado, matumizi yangu ya hayo majina pale juu ni sahihi, hata kama nikiamua kwenda kwa mtazamo wako wa kulamba asali, bado ni Mbowe na Lissu waliokuwa na misimamo isiyoyumba kabla "hawajailamba hiyo asali".
Sasa mbona unahama toka kwenye mjadala uliopo?Hao wanasiasa unaowaamini ndio walisema kuwa Lowassa ni fisadi na wanaushahidi na Ufisadi wake waliofanya lakini hao hao ndio wakamkaribisha kwenye chama chao na wakampa na ugombea wa uraisi kabisa narudia Tena usimuamini mwanasiasa yoyote kutatua matatizo yako
MUDA BADO ACHA KWANZA MPAKA JINA LA JPM LITAKASIKE KABISA ..NDIYO TUCHUKUE HAKUA KWA KUWA HAKUTOKUWA NA MTU WA KUTETEA TENA WALA WAKUWAONEA HURUMA MAFISAFI YA MSOGA NA SAMIAKwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi.
Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya kuratibu na kufanya maandamano makubwa nchi nzima yasiyo na kikomo kupinga maisha magumu na hizi tozo za kipuuzi.
Ni muda mufafaka Sasa Kwa Watanzania tuungane tuweke vyama pembeni, dunia nzima maandamano yenye mafanikio ni ya kiraia siyo ya vyama vya Siasa, nguvu mnayoitumia kwenye Simba day na Yanga day tukiunganisha pamoja kukataa kuswagwa kama Ng'ombe kwenye nchi yetu, Mwigulu ataachia mwenyewe ofisi ya umma na mama atasikia kilio chetu.
Uamuzi ni wetu tuendelee kuwekeza kwenye ujinga na mambo yasiyokuwa na Tija kama lete mzungu au tuchukuwe hatua Sasa.
Kama hatuwezi kuchukuwa hatua Sasa tukae kimya jumla tuache ulalamishi tuache serikali itekeleze ilani ili ituletee maendeleo na watu wote tukae kimya.
Sasa nakaribisha maoni na ushauri namna ya kuratibu maandamano nchi nzima kupinga maisha magumu, hili linawezekana timiza wajibu wako, hili vuguvugu likipamba moto na wakaona tupo serious watarekebisha tatizo kabla ya maandamano makubwa nchi nzima.
SUKUMA GANG LAZIMA WAKOMESHWE [emoji1787][emoji1787]Achana na kichwa Cha habari
Wakuu hizi tozo zinazoanzishwa Kila uchwao huku gharama ya maisha ikipaa Kila siku Hawa viongoz hawaoni wanachotufanyia
Vyakula vipo bei juu Sana lakn bado tunaongeza Kodi tuu na tozo juu lengo n nini?
Rais wetu yeye yupo kimya tu anafurah tu sisi kuumizwa na hili
Tujitafakari watanzania Kama nafas ya juu inaweza kushikwa na wanawake au la
CCM nyie ndio chama tawala hizi too hazimuumiz mwana TLP UPDP CHADEMA TU Bali zinatuumiza wote naomba Sana fanyeni kumshaur Rais juu ya hili
Hali n mbaya Sana mtaani
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sa100 ni mafii[emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]Kwakuwa Idara ya usalama wa Taifa wana dawati la Siasa Nina uhakika wanafuatilia hii thread ambayo tuko serious hatubeep.
Naomba wachangiaji wote tudhibiti hasira zetu tusitukane viongozi wetu, tuwe objective mwisho wa siku ni conclusion ya kuingia barabarani, wale wanaondelea kushupaza shingo waendelee tu wananchi tumeshaamuwa hatuna cha kupoteza.
Huyo ni sehemu ya wapumbavu wanaojipachika uspin doctor kwenye mambo serious ya kitaifa.Sasa mbona unahama toka kwenye mjadala uliopo?
Kama tukianza kutazamana kwa jicho hilo, nikikwambia nioneshe aliye msafi asie na doa kati yetu utaweza?
Ukiwa na hiyo mentality uliyonayo yakumuhukumu kila mmoja utachelewa sana kuyafikia malengo, mwishowe utajihukumu mwenyewe.
JPM ni agent wa Lucifer.MUDA BADO ACHA KWANZA MPAKA JINA LA JPM LITAKASIKE KABISA ..NDIYO TUKICHUKUA HAKUTA KWA KUWA HAKUTOKUWA NW MTU WA KUTETEA TENA WALA WAKUWAONEA HURUMA MAFISAFI YA MSOGA NA SAMIA
Bongo hakuna wa kuingia barabaraniKwakuwa Idara ya usalama wa Taifa wana dawati la Siasa Nina uhakika wanafuatilia hii thread ambayo tuko serious hatubeep.