Wamechoka nao.Lissu anakula kuku ulaya, Mbowe keshalambishwa asali bila sisi wananchi kufanya maamuzi tutaendelea kudidimizwa.
Kungekuwa na wasanii wanajieldwa ningewaandikia script ya kuwaumbua Hawa wapuuzi
"ela" ndiyo nini wewe pimbi!Matumizi yake si Yale Yale ? Lugha Tu ndio tofaut
Kwani tozo unakatwa ela na Kodi unakwatwa nywele zako?
Acha uzuzu
Tulia sasa ma agent wazuri wakulambishe asali.JPM ni agent wa Lucifer.
"ela" ndiyo nini wewe pimbi!
hawa ni wahuni wachache wenye matatizo ya afya ya akili.Matumizi yake si Yale Yale ? Lugha Tu ndio tofaut
Kwani tozo unakatwa ela na Kodi unakwatwa nywele zako?
Acha uzuzu
Machawa akili zenu zipo kwenye makalio, wabunge hawa walioteuliwa na Magufuli na kupelekwa bungeni?Kabla ya kuandamana,tutumie njia ya mazungumzo na viongozi.
Kumbukeni hasara za maandamano zinaweza kuligharimu taifa letu;ikiwa ni pamoja na kuharibu miundombinu,mali za watu binafsi na hata kugharimu maisha.
After all:
SI TUNA WABUNGE AMBAO NI WAWAKILISHI WETU?.
Tukatae tozo. Tukatae walamba asali.''Wasamaria wema wamemuokota aliyegongwa na gari barabarani. Wakamkimbiza hospitali. Daktari anataka laki tatu kumtibu. Linaundwa group kuchangisha. Serikali inakata tozo badala ya kulipia matibabu ya raia wake''- Askofu Benson Bagonza
Aibu kubwa sana !''Wasamaria wema wamemuokota aliyegongwa na gari barabarani. Wakamkimbiza hospitali. Daktari anataka laki tatu kumtibu. Linaundwa group kuchangisha. Serikali inakata tozo badala ya kulipia matibabu ya raia wake''- Askofu Benson Bagonza
Juzi nimewatumia hela ya sanda washikaji waliofiwa na babu yao nimeshangaa sana !Hii nchi si sahihii kuleta mtoto labda mpaka hiki kizazi chetu kipite.
Kwa kuongeza, hata rambirambi zinazochangwa kupitia ma-group ya mitandaoni nazo zinatozwa tozo.