Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Wamechoka nao.Lissu anakula kuku ulaya, Mbowe keshalambishwa asali bila sisi wananchi kufanya maamuzi tutaendelea kudidimizwa.
Kungekuwa na wasanii wanajieldwa ningewaandikia script ya kuwaumbua Hawa wapuuzi
Alipgwa risasi akaumia nusura kufa hatukuandamana, mbowe akakaa ndani mali zake zikaharibiwa hatukuandamana.
Wakaona hivi kwanini tufie mazoba, wacha tuayaache