Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea Uenyekiti wa Kamisheni ya AU?

Miguna na Odinga ni kama Lowassa na JK...

Walikua chanda na Pete hadi Miguna kufikia kimuapisha Odinga kama Rais lakini baada ya Odinga kuungana na Uhuru kula keki akamgeuka swahiba wake wa siku nyingi kufikia Miguna kupigwa BAN kuingia Kenya.
miguna anasema Baba hata cheti cha form four hana,na jana kasema Raila amataje hata mtu mmoja aliyesoma nae secondary school au Chuo.
 
hapana afrika inamteua raila odinga
 
Walikosana lini?

Umesahau Miguna alishiriki kumuapisha Raila ?
Walikosana Baada ya handshake ya Raila na Kenyatta. Na baadae Miguna kukamaywa na kurudishwa Canada. Tangia hapo akawa anamwita Raila Conman. Na kwenye kampeni za urais 2022, alikuwa upande wa Ruto.
 
Miguna na Odinga ni kama Lowassa na JK...

Walikua chanda na Pete hadi Miguna kufikia kimuapisha Odinga kama Rais lakini baada ya Odinga kuungana na Uhuru kula keki akamgeuka swahiba wake wa siku nyingi kufikia Miguna kupigwa BAN kuingia Kenya.
Wewe ndio umeongea ukweli
 
Miguna ndo alimuapisha Raila pale uwanjani kuwa Rais wa Kenya kwahiyo anayajua mengi ya Baba
Sijakataa. Ila kwa kwa Sasa ni maadui anaweza kuongea chochote. Halafu hata uchaguzi uliopita alisema hayo ila hakufanikiwa.
 
miguna anasema Baba hata cheti cha form four hana,na jana kasema Raila amataje hata mtu mmoja aliyesoma nae secondary school au Chuo.
Mbona alishasema hayo wakati wa uchaguzi na bado Raila akapitishwa kugombea?. Miguna amepotea kisiasa anajaribu kupambana na Odinga Ruto amuone.
 
Leo umepatikana huwa unajifanya mjuaji. AU chairperson ni Mwenyekiti wa vikao na anawakilisha Marais wa nchi wanachama. Ila Chairperson wa AU Commission ni mtendaji mkuu wa AU na ndio msimamizi wa Mali za AU Kama Taasisi. Hiyo nafasi zamani kipindi OAU iliitwa Katibu Mkuu.
 
Hivi kuna binadamu hawatosgeki ? Ana shida gani ? Kuna shida mahali....maana hata mke hamna kitu kichwani amelazimisha ubunge khsaa mtoto kilaza wa karne....lakini fitna na shirkii
Kwani akigombea ni kwa ajili ya shida!? Naamini ikiwa anagombea basi anataka kutoa mchango wake na nguvu zake kwa faida ya Africa.
Mbona rahisi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…