NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

Asante kwa kurekebisha haya em tuambie iko vp
Kwa hiyo,unataka kupinga msemo wa wahenga,kwamba kunguru hafugiki! Kugegedana kawaida tu. Lakini,kuna cha kujiuliza. Mpaka anahesabu wanaume zaidi ya 100 waliomvua,una imani wa 101 atamtuliza? Kama ni wa kulipa kodi,siku zote atadai tu. Kama ndo alivyoumbwa,haachi. Hujawahi wasikia wanaoolewa kwenye miji yenye kila kitu,lakini zikipanda,lazima houseboy apige vitu?
Hii ina maana hata walioolewa,ni kama tu wamejiegesha,hawamo. Sema tu kuna siri ilifichwa. Ingekuwa mtu akifanya kuna ki alama kinajiongeza,au tundu kutoboka mwilini,walio wengi wangekuwa kama vyandalua.
 
Hakuna nilichopinga
 
Elasticity ni maumbile ya mtu, Dr Restart atakuja kutoa maelezo zaidi kama ni dr wa wanawake
Mtu ana watoto 10 kazaa njia ya kawaida ila mnato anao wa kutosha sembuse mtu aliyeingiliwa na vibamia 10
Wewe mnato wa mama mtu mzima umeujuaje?

Maumbile hutofautiana kati ya mtu na mtu. Vivyo hivyo kwa elasticity.

Kuna mabinti hata mtoto hajapita, ila ana shimo la nguchiro. Kubwa ka pango la nguruwe pori.
 
Siku zote mwili wa binadamu una tabia ya kukumbuka past events, hivyo events zikiwa nzuri au mbaya zitakumbukwa na kufananishwa na currently events. Hapo ndio matatizo huanzia ie Yule alihonga sana huyu bahili, yule alizagamua vizuri huyu kimoko Chali, Yule alikuwa handsome huyu Chikumbalaga etc hapo ndipo msimamo huishagaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe mnato wa mama mtu mzima umeujuaje?

Maumbile hutofautiana kati ya mtu na mtu. Vivyo hivyo kwa elasticity.

Kuna mabinti hata mtoto hajapita, ila ana shimo la nguchiro. Kubwa ka pango la nguruwe pori.
Sasa sindivyo nilivyosema mimi! Maumbile hayahusiani na body count ila ni nature ya mtu
 
Na vipi ikiwa huwezi mpata huyo bikra, utakufa bila kunanii.
Na kwa nin bikra iwe kwa mwanamke tu, ina maana mwanaume kuchezeana kabla ya ndoa ni ruksa?
Hakuna mwanamke anatamani kuwa na mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi kwasababu kwanza huyo mwanaume anakuwa hana uzoefu na sex wakati wao wanataka anayepeleka moto kweli kweli, wanakuwa hawajui mkumsoma mwanamke vizuri wakati wanawake wanahitaji mwanaume ambaye atayemuelewa vizuri.
ephen_ eti Evelyn Salt nakosea?
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...
 
Nimechelewa kuuona huu uzi. Kuna ushahidi wa kisaikolojia kwamba kwa kadri mwanamke anavyokuwa na body count kubwa ndivyo uwezo wake wa ku-bond na mmoja wao huko mbele ya safari unavyopungua. Labda tu atakuja kujifanyisha baada ya kuona mileage zimesoma lakini ile contentment kihisia kuridhika na mtu mmoja inakuwa ngumu sana.

Ngoja nikausake huo utafiti nitarudi lakini inavyoonekana, the less the body count, the better - physically, spiritually and emotionally!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…