The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
Babe haya maneno ungenifuata pm 🤔🤔Ukilewa usichat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babe haya maneno ungenifuata pm 🤔🤔Ukilewa usichat
Hela ya kununua hiyo ndinga huna kwasasaBabe haya maneno unenifuata pm 🤔🤔
Kwa hiyo,unataka kupinga msemo wa wahenga,kwamba kunguru hafugiki! Kugegedana kawaida tu. Lakini,kuna cha kujiuliza. Mpaka anahesabu wanaume zaidi ya 100 waliomvua,una imani wa 101 atamtuliza? Kama ni wa kulipa kodi,siku zote atadai tu. Kama ndo alivyoumbwa,haachi. Hujawahi wasikia wanaoolewa kwenye miji yenye kila kitu,lakini zikipanda,lazima houseboy apige vitu?Asante kwa kurekebisha haya em tuambie iko vp
Hakuna nilichopingaKwa hiyo,unataka kupinga msemo wa wahenga,kwamba kunguru hafugiki! Kugegedana kawaida tu. Lakini,kuna cha kujiuliza. Mpaka anahesabu wanaume zaidi ya 100 waliomvua,una imani wa 101 atamtuliza? Kama ni wa kulipa kodi,siku zote atadai tu. Kama ndo alivyoumbwa,haachi. Hujawahi wasikia wanaoolewa kwenye miji yenye kila kitu,lakini zikipanda,lazima houseboy apige vitu?
Hii ina maana hata walioolewa,ni kama tu wamejiegesha,hawamo. Sema tu kuna siri ilifichwa. Ingekuwa mtu akifanya kuna ki alama kinajiongeza,au tundu kutoboka mwilini,walio wengi wangekuwa kama vyandalua.
Mke atabaki kuwa mke kama ilivyo kwa mume atabaki kuwa mume.Kivip kaka mbalizi?
Kupitia conversation, hii njia naitumia sana hasa ukiwa na uwezo wa communication skills ikiwemo kunote some small details niliwahi kugundua mwanamke niliyenae sio mwaminifu kupitia hiyo techniqueUtajua vip kama ashawai kua na mahusiano mengi huko nyuma?
Wewe mnato wa mama mtu mzima umeujuaje?Elasticity ni maumbile ya mtu, Dr Restart atakuja kutoa maelezo zaidi kama ni dr wa wanawake
Mtu ana watoto 10 kazaa njia ya kawaida ila mnato anao wa kutosha sembuse mtu aliyeingiliwa na vibamia 10
Sasa sindivyo nilivyosema mimi! Maumbile hayahusiani na body count ila ni nature ya mtuWewe mnato wa mama mtu mzima umeujuaje?
Maumbile hutofautiana kati ya mtu na mtu. Vivyo hivyo kwa elasticity.
Kuna mabinti hata mtoto hajapita, ila ana shimo la nguchiro. Kubwa ka pango la nguruwe pori.
Hakuna mwanamke anatamani kuwa na mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi kwasababu kwanza huyo mwanaume anakuwa hana uzoefu na sex wakati wao wanataka anayepeleka moto kweli kweli, wanakuwa hawajui mkumsoma mwanamke vizuri wakati wanawake wanahitaji mwanaume ambaye atayemuelewa vizuri.Na vipi ikiwa huwezi mpata huyo bikra, utakufa bila kunanii.
Na kwa nin bikra iwe kwa mwanamke tu, ina maana mwanaume kuchezeana kabla ya ndoa ni ruksa?
Ss kazoea kuwa cha wote, tabia huwa haipakwi rangi dadangu, kama ulizoea kuliwa na wanaume wengi, mwqnaume mmoja haezikutosheleza
Kuna mambo yanafurahisha sana...Ndiomana nimesema kuna koments zinachekesha sana .
Mwingine ni binti tu hajazaa ila kapita na watu lukukiii hao 10 wachache sanaaaa na still ana mnatrooo
Mwingine kapita na mmoja wawili ila bwawaaaaaaa
Kuna mwenye kapita na wachache still mnatro wakushatroo
Mwingine kazaa ana watoto ila mna mnatoo kam kauwaaaa anakitembeza hatariiiiiiii
Mwingine kazaa ana watoto plus mnato kama wote ila saivi katuliaaaa
Mwingine hajazaa kapita na wachache kaamua kutulia zakee
So inategemea mwananke na mwananke na umbile lake kule mazeeee
Yaniiii Hayanaga mwongozo / fomula in Smart911 voice
Nimechelewa kuuona huu uzi. Kuna ushahidi wa kisaikolojia kwamba kwa kadri mwanamke anavyokuwa na body count kubwa ndivyo uwezo wake wa ku-bond na mmoja wao huko mbele ya safari unavyopungua. Labda tu atakuja kujifanyisha baada ya kuona mileage zimesoma lakini ile contentment kihisia kuridhika na mtu mmoja inakuwa ngumu sana.Bwana Yesu apewe sifa.
Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa.
Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao huyo mwanamke atakua katana nao watakua wameshamtumia kwa njia zote wanazojua wao, wameshamhonga, kumtumia nauli za kutosha.
Eti kaka zangu ambao mko single nyie mnasemaje kuhusu hili?😁😁
Na wadogo na dada zangu pia mnasemaje kuhusu hili?😜