- Thread starter
- #41
Kuna haja ya kuliamsha dude.Mbona wamejazana kifamilia huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna haja ya kuliamsha dude.Mbona wamejazana kifamilia huko.
Acha utani.Kuna haja ya kuliwmsha dude.
Mambo ya Ndugunaizeshen hayo tulikuwa tukisemaga zamani !! Pesa hazitoshagi ni tamaa kwa kwenda mbele mpaka siku ya mwisho !! Ambayo ipo tu na ni lazima ifike !!😅😅Ridhiwani ni mtoto wa Kikwete rais mstaafu, Salma mama yake Riz1. Hussein ni mtoto wa mwinyi, Karume nao baba na mwana Marais. Sasa ajabu ya samia na Shaka iko wapi?
Kutesa kwa zamu !! Ndivyo ilivyo siku zote. !! Tujadili masuala ya maji na umeme ndivyo vinavyotutesa sio Shaka wala Zuhura !!Imejaa wala urojo
Kwahiyo uwezo wa kiuongozi wa paymaster general (mpwa wa JPM) Dotto James ulifika mwisho mara tu Magufuli alipofariki?
Uwezo na umahiri wa kiuongozi wa mpwa wa Magufuli Herry James ulofika mwisho baada tu ya Magufuli kufariki?
Unapoleta kioja huku JF uwe umejipanga ndugu. Huku siyo Facebook.
Mwenzio ameongelea uhalisia wewe unaongelea hisia. Eti sijui nani kampigia debe nani. Una uhakika wowote kuwa waluwapigia debe.Sexless ufahamu au ufuatiliaji wako ni mdogo sana kisiasa
Unasemaje uwezo wa Herí James umefikia mwisho ilhali kwasasa ni DC-Ubungo!??? Unafatilia mambo kweli au unakurupuka!??
Shaka alikuwemo kwenye siasa na kashika nyadhifa kadhaa ndani ya CCM na Serikalini kabla hii ya uenezi aliyoteuliwa na Samia
Pia, hili ukiliangalia kwa upande wetu huku Chadema ndio kuna nepotisms ya kiwango cha juu sana
Mbowe kapigiwa debe ya uenyekiti kutoka kwa baba mkwe Mzee Mtei,
Mbowe kazaa na Joyce Mukya kisha akaja akampigia debe ya ubunge viti maalumu.
Ndesamburo nae akamuweka mwanae Lucy ubunge viti maalum
Tundu Lissu nae hakubaki nyuma akampigia debe dada yake aitwae Christina Lissu awe Mbunge viti maalumu
Nenda kaangalie vyeo vingine vya kiutendaji ndani ya Chadema, uone kina John Mrema, Mallya, Tarimo nk walivyojazana chamani,,,, hapo utapata picha tuna upinzani/Chadema wenye taswira ipi
Tatizo hujaelewa hoja, umekimbilia kujibu. Tulia, usome vizuri kabla ya kuchangia.Hakuna sehemu yenye nepotism kama CHADEMA. Mwanzilishi wa Chama, Mtei, ni baba mkwe wa Mwenyekiti wa kudumu, Mbowe. Lema ni ndugu huko Machame. Lucy Owenya mtoto wa mmoja wa waanzilishi Ndesamburo. Wale Covid19 ukimtoa labda Mdee karibu wengine kama sio ndugu ni mke au kimada wa kiongozi. Yaani huko Ufipa balaa tupu. Fuatilieni. CHADEMA kuinyooshea kidole CCM kuhusu nepotism ni sawa na kuanzisha ugomvi wa mawe wakati wakiwa kwenye nyumba ya vioo.
Mleta hoja kauliza kuhusu undugu kati ya wawili hawa.Huu ni upotoshaji wa kiwango cha Lami,
Shaka Hamdu Shaka amekuwa ndani ya CCM tangu enzi na enzi,
Shaka Hamdu Shaka amekuwapo tangu enzi za chipukizi,
Shaka Hamdu Shaka amekuwa katibu Mkuu wa UVCCM Taifa chini ya Mkt Herry James,
Shaka Hamdu Shaka amekuwa Katibu wa Mkoa wa Morogoro,
===
Shaka Hamdu Shaka amekuwako kwenye Siasa hata kabla ya Rais Samia kujiingiza fully kwenye Siasa toka Private Sector,
Leo kujadili na kumjadili Shaka Hamdu Shaka kuwa ni mpwa wa Rais Samia au Sio ni Uzwazwa kama Uzwazwa ulivyo,
Shaka Hamdu Shaka hajaletwa na Rais Samia kwenye Siasa bali kakutwa na Rais Samia akiwa mahiri na hodari sana kiasi cha kutamani amsaidie katika nafasi hii ya "Uenezi wa Chama "
#Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mkuu bado hajafika, ngoja tuendelee kumsubilia huenda akapotea njia ma huku akafika.[emoji3]Mtu fulani hivi kapewa kazi ya kuieneza ccm. Huko kijijini kwenu hajafika?
Sioni tatizo, hakuna ubaya, shaka anaimudu kazi yake na anauzoefu nayo!, Anaifaa ccm.Niko Zanzibar kutafuta namna ya kuufanya mkono uende kinywani. Katika stori mbili tatu mwenyeji wangu kagusia kuwa Shaka ni mpwa wa rais Samia.
Nimestushwa sana na hiyo kitu ambayo mwenyeji wangu ananiambia kuwa kwa hapa Zanzibar inajulikwna na kila mtu.
Hebu ndugu wadau nijuzeni. Habari hii nanyi mnayo? Mbona hamuisemi? Ina afya kwa chama na taifa? Kwann haikemewi ndani na nje ya chama? Kwann tunaruhusu nepotism hii?
Jiwe alimuweka mpwa wake kuwa paymaster general. Tukapiga kelele kwa pamoja japo hatukufanikiwa kuzibua masikio ya yule bwana. Sasa mbona huyu mama mwamnyamazia ?
NYONGEZA........,................
Nepotism ni mbaya, inaudhi wengi na inaminya haki na fursa za walio wengi. Alipofariki Rais Magufuli wapwa zake Hery James (alikuwa paymaster general) na Dotto James (alikuwa mwenyekiti UVCCM) walifukuzwa kwenye nyadhifa zao nyeti na kupewa vyeo vya kufutia machozi. Nikadhani wanaccm mmejifunza. Sasa mbona mnarudia makosa?
Wewe utakuwa karibu na bakuli la asali ndiyo maana unasema hivyoSioni tatizo, hakuna ubaya, shaka anaimudu kazi yake na anauzoefu nayo!, Anaifaa ccm.
Msimtimue kama Heri James mara Samia atakapoondoka ikulu.Hakuna shida shaka kuwa mpwa wa Mama.....
Shaka alifukuzwa na Magufuli Kwa rushwa mbona huongeleiHuu ni upotoshaji wa kiwango cha Lami,
Shaka Hamdu Shaka amekuwa ndani ya CCM tangu enzi na enzi,
Shaka Hamdu Shaka amekuwapo tangu enzi za chipukizi,
Shaka Hamdu Shaka amekuwa katibu Mkuu wa UVCCM Taifa chini ya Mkt Herry James,
Shaka Hamdu Shaka amekuwa Katibu wa Mkoa wa Morogoro,
===
Shaka Hamdu Shaka amekuwako kwenye Siasa hata kabla ya Rais Samia kujiingiza fully kwenye Siasa toka Private Sector,
Leo kujadili na kumjadili Shaka Hamdu Shaka kuwa ni mpwa wa Rais Samia au Sio ni Uzwazwa kama Uzwazwa ulivyo,
Shaka Hamdu Shaka hajaletwa na Rais Samia kwenye Siasa bali kakutwa na Rais Samia akiwa mahiri na hodari sana kiasi cha kutamani amsaidie katika nafasi hii ya "Uenezi wa Chama "
#Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Tuwe tunajifunza kujibu maswali yanayoulizwa, hakuna asiejua historia yake ya siasa. Swali lilikuwa ni mpwa wa Rais?!Huu ni upotoshaji wa kiwango cha Lami,
Shaka Hamdu Shaka amekuwa ndani ya CCM tangu enzi na enzi,
Shaka Hamdu Shaka amekuwapo tangu enzi za chipukizi,
Shaka Hamdu Shaka amekuwa katibu Mkuu wa UVCCM Taifa chini ya Mkt Herry James,
Shaka Hamdu Shaka amekuwa Katibu wa Mkoa wa Morogoro,
===
Shaka Hamdu Shaka amekuwako kwenye Siasa hata kabla ya Rais Samia kujiingiza fully kwenye Siasa toka Private Sector,
Leo kujadili na kumjadili Shaka Hamdu Shaka kuwa ni mpwa wa Rais Samia au Sio ni Uzwazwa kama Uzwazwa ulivyo,
Shaka Hamdu Shaka hajaletwa na Rais Samia kwenye Siasa bali kakutwa na Rais Samia akiwa mahiri na hodari sana kiasi cha kutamani amsaidie katika nafasi hii ya "Uenezi wa Chama "
#Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Hiyo ni kweli wahuni wameshika hatamu ...mabeberu ya kizungu yanachekeleaNiko Zanzibar kutafuta namna ya kuufanya mkono uende kinywani. Katika stori mbili tatu mwenyeji wangu kagusia kuwa Shaka ni mpwa wa rais Samia.
Nimestushwa sana na hiyo kitu ambayo mwenyeji wangu ananiambia kuwa kwa hapa Zanzibar inajulikwna na kila mtu.
Hebu ndugu wadau nijuzeni. Habari hii nanyi mnayo? Mbona hamuisemi? Ina afya kwa chama na taifa? Kwann haikemewi ndani na nje ya chama? Kwann tunaruhusu nepotism hii?
Jiwe alimuweka mpwa wake kuwa paymaster general. Tukapiga kelele kwa pamoja japo hatukufanikiwa kuzibua masikio ya yule bwana. Sasa mbona huyu mama mwamnyamazia ?
NYONGEZA........,................
Nepotism ni mbaya, inaudhi wengi na inaminya haki na fursa za walio wengi. Alipofariki Rais Magufuli wapwa zake Hery James (alikuwa paymaster general) na Dotto James (alikuwa mwenyekiti UVCCM) walifukuzwa kwenye nyadhifa zao nyeti na kupewa vyeo vya kufutia machozi. Nikadhani wanaccm mmejifunza. Sasa mbona mnarudia makosa?
Hujajibu swali la msingi, na swali ni hili:Shaka yupo kwenye duru za CCM/ UVCCM kabla wewe hujaingia JF na kutengeneza account yako. Ni kwamba tu Mwendazake aliwavuruga mwaka 2016.