Asee mtasubiri Sana hiyo aibu hutaiona chini ya Uongozi wa Lisu. Jipeni mudaMatusi hayakisaiidii chama mkuu, chama kinahitaji pesa. Lissu akishindwa kuendesha chama itakuwa ni aibu kubwa kwa chama.
Lissu ndio ameingia uongozini masaa hayazidi 72 amekuta hakuna pesa hapo wa kulaumiwa siyo Lissu yule aliye kiacha chama bila pesa.Mbowe ndio kagharamia kila kitu ulikiona pale Mlimani City.
Sasa inawezekana hakuwa sahihi kutumia hiyo modal. Je Lissu kajipangaje?
Nimestuka sana kuona Lissu na wenzake wamekosa million 50 ya lazima. Kuna giza naliona.
Huu ni uwongo, sababu za huo uchaguzi kusogezwa mbele ziliwekwa wazi juziKuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
We kabwana mdogo unatia kinyaa Sana Kama hauna hoja kaa kimya. Mbowe kaongoza zaidi ya miaka 19 alafu unashangaa kugharamia Kila kitu pale mlimani city upo serious kabisa? Najutua pia kureply Kwa jinga Kama Wewe.Mbowe ndio kagharamia kila kitu ulikiona pale Mlimani City.
Sasa inawezekana hakuwa sahihi kutumia hiyo modal. Je Lissu kajipangaje?
Nimestuka sana kuona Lissu na wenzake wamekosa million 50 ya lazima. Kuna giza naliona.
Ruzuku ya CHADEMA kwa mwezi ni Shs 170M. Ilipe gharama zote muhimu kwa mwezi pamoja na mishahara na bills. Na chama ndio kimetoka kwenye uchaguzi, ni wazi itakuwa shida Kidogo.
Aliyekuwa anafadhili ndio kaitwa Mla Rushwa, mlamba asali, dikteta, Wakala wa CCM etc.
Waahirishe kikao Cha CC Hadi hapo baadae, au wajumbe wajitolee au watadai posho zao ba
Wapi? Hivi vitu uone kwa nje tu. Ukiingia ndani ndio utajua. Bila hela kuendesha chama mtihani aisee. Hata ukisema litembee bakuli, litatembea bakuli hadi lini? Usione vyaelea aiseeAlikuwa hafadhili alikuwa anakopesha kwa mujibu wa Lissu. Wakakope na wao.
Wewe ulishawahi kuongoza taasisi kweliMkuu hapa nazungumzia million 50 sio mabillion ya kampeni za uchaguzi mkuu. Unaendeshaje chama kama hauna financial muscles?
Aseme tumpe mipango ya kutafuta pesa.
Chanzo sahihi na rasmi cha bandiko lako, ni kipi?!?!Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Wakati unachagua akili zako zilikuwa wapi hadi unauliza kama mlichagua watu sahihi ama la?Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Yť⁷q¹
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Amekuomba huo msaada?Tuone namna ya kumsaidia mwenyekiti na safu mpya.
Kama chama hakina fedha ni jukumu la kiongozi mkuu kufanya mobilisation fedha ipatikane, kuna wadau mbalimbali wa siasa ndani na nje ya chama wanashirikishwa ili mambo yaende.haha! kwani kwenye mambo ya chama kiongozi anatoa pesa zake mfukoni ama kuna fungu la chama..?
Muache afanye kazi,akihitaji msaada wako atakuombaAliniomba kura.