Watu awatazami haya mambo kwa picha kubwa wanachukilia kama ushabiki wa Simba na Yanga.Wapi? Hivi vitu uone kwa nje tu. Ukiingia ndani ndio utajua. Bila hela kuendesha chama mtihani aisee. Hata ukisema litembee bakuli, litatembea bakuli hadi lini? Usione vyaelea aisee
Ndio ushangae sasa.Mkuu Mbowe hayupo sasa hivi na Lissu amefeli kuendesha mkutano wa kikatiba wa kuchagua wajumbe muhimu kwenye chama.
Kwa hiyo tumuulize maswali magumu Lissu maana ndio mwenye chama kwa sasa.
Yani Lissu ashindwe kuendesha mkutano lawama tumpe Mbowe aliyestaafu?
Ni kweli Lisu hana fedha hata gari bado hajanunuaKuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Si usubiri kiherehere cha nini wewe unaweza kufanya kila kitu ndani ya siku tatu mbona huyo aliyekaa kwa miaka 21 ameshindwa kuacha chochoteMkuu Mbowe hayupo tena Chadema. Chama kipo mikononi mwa Lissu hatuwezi kuendelea kumbebesha lawama tunataka kuona uongozi mpya unafanya nini.
Diaspora na wanachama ni wakati wao kuendesha chama!! Sio kutikisa matumbo na kuongea hadi ute ute mweupe unatoka mdomoni!!Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Ndio msubiri muone hatua atakayochukua, kuonesha kama ni kiongozi sahihi ama lah.Maybe you are right. So what's the plan?
Zamu yake na yeye Lisu kutumia pesa zake kugarimia kikao kama ambavyo.Mbowe alikuwa anafanyaKuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Lisu Alidhani uenyekiti ni lele mamaInamaana Lissu hakuyajua haya au akujipanga? Sasa operations za chama na kampeni ataziendeshaje?
Acha ujinga..Mkuu hapa nazungumzia million 50 sio mabillion ya kampeni za uchaguzi mkuu. Unaendeshaje chama kama hauna financial muscles?
Aseme tumpe mipango ya kutafuta pesa.
Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Atawezaje Sasa kuweka wagombea na kufanya Kampeni Kwa hali hii?.Mrudisheni haraka au ombeni Msaada CCM wawachangie ππHebu tuseme wameshindwa, unataka tumrudishe Mbowe?.
Boni Yai acha ujinga. Pesa zote amekomba babaako, subiri uongozi mpya uanze kazi.Mbowe ndio kagharamia kila kitu ulikiona pale Mlimani City.
Sasa inawezekana hakuwa sahihi kutumia hiyo modal. Je Lissu kajipangaje?
Nimestuka sana kuona Lissu na wenzake wamekosa million 50 ya lazima. Kuna giza naliona.
Siyo vibaya kutumia akili kabla ya kuandika na ku-post Uzi hapa JF.Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
UongoLissu ndio ameingia uongozini masaa hayazidi 72 amekuta hakuna pesa hapo wa kulaumiwa siyo Lissu yule aliye kiacha chama bila pesa.
Uongozi uliopita ulitakiwa uandae pesa za chaguzi zote za mwaka huu Hadi uchaguzi mkuu.
Uongozi wa nchi hivyo hivyo raisi anaeondoka madarakani lazima aachie pesa ya kuanzia kazi mtangulizi wake hapo ya siku chache.
Lissu na wenzie watatafuta pesa kwa Sasa bado wanakabidhiwa ofisi.
Nimewaza tu. Chadema ina wanachama zaidi ya milioni, hivi kila mwanachama akihamasishwa achangie walau buku kwa mwezi chama kitashindwa kujiendesha?Asee mtasubiri Sana hiyo aibu hutaiona chini ya Uongozi wa Lisu. Jipeni muda
Uko sahihi toka baada ya Lisu kutangazwa mwenyekiti kutoka hapo hayamhusu Mbowe tena ya kwake mwenyewe LisuMkuu Mbowe hayupo sasa hivi na Lissu amefeli kuendesha mkutano wa kikatiba wa kuchagua wajumbe muhimu kwenye chama.
Kwa hiyo tumuulize maswali magumu Lissu maana ndio mwenye chama kwa sasa.
Yani Lissu ashindwe kuendesha mkutano lawama tumpe Mbowe aliyestaafu?
Lisu mwenyewe hajawahi changia chama hata miaNimewaza tu. Chadema ina wanachama zaidi ya milioni, hivi kila mwanachama akihamasishwa achangie walau buku kwa mawezi chama kitashindwa kujiendesha?