Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Lukuvi na Kabudi ni miaka sitini kwenda mbele. Wameshafikia umri wa kustaafu ni sawa na Mzee Mkuchika. Wanafanya kazi ndani ya muda wa kukopa (borrowed time).Umekariri mkuu...
Ukweli ni ukweli hata kama utanyongwa ukiusema! Unaweza kabisa usikusaidie lkn unabaki kuwa ukweli
Acha mwingi.Samia mnamuonea sioni kosale
Aluta Aluta mpaki kieleweke hamna namna.Tuanzisheni mchakato wa kumuondoa Samia kikatiba ya CCM kwani anaonekana wazi wazi kwamba hana nia nzuri na nchi yetu mishipa ya shingo inamtoka jukwaani akisisitiza atakopa atakopa Rais gani wa nchi anasimama jukwaani kulilia kwenda kuyavaa mabenki ya nje kukopa??,,, kumtoa Lukuvi wizara ya ardhi kweliii??? Nape kumbe kujipendekeza kote kule ilikuwa ni dili la uwaziri na Ridhiwani pia waziri ama kweli Tanzania sasa imeisha
Angalieni utumbo wa teuzi za Tanesco kwenye ulaji na leo ardhi ambako umiliki wa ardhi wa vigogo ilikuwa ishu nzito leo Lukuvi kaondolewa ili Samia awafurahishe wahalifu
Kiufupi Samia hatufai na mjadala sasa uwe huo
Stop this nonsense. Who is Lukuvi after all?? Hivi mnajuwa kuwa Lukuvi ni Darasa la 7 na fani yake ni mwalimu wa Grade C kwa mfumo wa UPE??1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!
2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo katika nchi yetu
3. Ili nchi yetu tupate maendeleo ya dhati, nashawishika kusema, hata mgombea wa uraisi wananchi ndio watoe mapendekezo ya nani wanafikiri anaweza kupeperusha Bendera kutoka kwenye vyama vyao, hii itasaidia kuondoa hira za watu wachapa kazi!
Sifahamu njia bora itakayotumika kwa urahisi kufanyika hilo,
Watu wote wenye ndoto kubwa na Tanzania huwa wanaishia kufukuzwa chama, ama kufanyiwa mizengwe ili tu wasifikie huko, hasa wenye misimamo ya kweli isiyo yumba kuhusu ukweli wa haki za wananchi
Ndiyo, Tumekuwa na mawaziri wengi, ila Mh Lukuvi amekuwa zaidi ya waziri
Mh Lukuvu, popote ulipo, watanzania wanajua, dunia inajuwa kwamba wewe, ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo Mkubwa wa kuchapa kazi na kusimamia kwa nguvu zote haki za wananchi
Wayahudi wakamuuliza Herode, Kwa nini umeamlisha Msalabani kuandikwe, Huyu ndiye mfalme wa wayahudi,?
Herode akasema, Lililoandikwa limeandikwa!
Mh Lukuvu, Kilichoandikwa juu yako, hakitajarisha chichote katika safari yako,Ni sharti kitimie, Mungu akubariki kwa kazi yako njema na kubwa sana kwa nchi yako unayoipenda kwa moyo wako wote!!
Nakupenda Tanzania nitakulinda kwa nguvu zangu zote!
Wabunge wawapi hao? Hawa wa Tz au WA nchi Nyingine?Naomba ile nidhsmu ya uwoga ituishe sasa,
Mawaziri hawawezi kupitisha miswada mibovu ya serikali, Ni wakati wa wabunge sasa kusimamia haki bila kuogopa ukubwa wa vyama, miradi mibovu yote pigeni chini hata kwa kura ya wazi!
atafakali nn wakati anajua lukuvi anakubalika na anasifa za kuwa rais 2025!!? Nayy hawataki watu wenye sifa na wanakubalika kuwa rais!!? uroho wa kuendelea kubaki white house!!Mimi ni team mama lakini Kumuondoa Lukuvi Ardhi haiko Sawa kabisa. Ni Waziri anayewajibika na kujibuidisha mno. Mh. Rais najua kuna watu wako humu. Tafakari Sana kuhusu Lukuvi.
Alisema kanisani Zanzibar hawataiachia wataendelea kuitawala kijeshi., ni mtu mwenye roho mbaya na dikteta na anayeichukia kuona zanzibar inasimama kwa miguu yake.,1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!
2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo katika nchi yetu
3. Ili nchi yetu tupate maendeleo ya dhati, nashawishika kusema, hata mgombea wa uraisi wananchi ndio watoe mapendekezo ya nani wanafikiri anaweza kupeperusha Bendera kutoka kwenye vyama vyao, hii itasaidia kuondoa hira za watu wachapa kazi!
Sifahamu njia bora itakayotumika kwa urahisi kufanyika hilo,
Watu wote wenye ndoto kubwa na Tanzania huwa wanaishia kufukuzwa chama, ama kufanyiwa mizengwe ili tu wasifikie huko, hasa wenye misimamo ya kweli isiyo yumba kuhusu ukweli wa haki za wananchi
Ndiyo, Tumekuwa na mawaziri wengi, ila Mh Lukuvi amekuwa zaidi ya waziri
Mh Lukuvu, popote ulipo, watanzania wanajua, dunia inajuwa kwamba wewe, ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo Mkubwa wa kuchapa kazi na kusimamia kwa nguvu zote haki za wananchi
Wayahudi wakamuuliza Herode, Kwa nini umeamlisha Msalabani kuandikwe, Huyu ndiye mfalme wa wayahudi,?
Herode akasema, Lililoandikwa limeandikwa!
Mh Lukuvu, Kilichoandikwa juu yako, hakitajarisha chichote katika safari yako,Ni sharti kitimie, Mungu akubariki kwa kazi yako njema na kubwa sana kwa nchi yako unayoipenda kwa moyo wako wote!!
Nakupenda Tanzania nitakulinda kwa nguvu zangu zote!
1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!

hamana kitu,ni yeye mwenyewe uroho umemjaa !!kwani anashindwa kutumia akili yake mwenyewe!?Shida sio mama, tatizo ni walio nyuma ya mama..
Wanamjaza hofu mnoo mama! Hadi anakosa utulivu! Sjui kina nani hawa! Ndio usalama wa Taifa au vigogo flani hapo CCM?
kila tunavyosonga mbele ndivyo hofu inamjaa mama hasa ya 2025! Yaani nasikitika hao walionyuma ya mama wanamfanya awaze zaidi 2025 kuliko yampasayo sasa!
#MPUMZISHENI MAMA!
Mkoa wa pwani umetoa mawazi watano kwa mpigo. Kwa ubora gani?Tuanzisheni mchakato wa kumuondoa Samia kikatiba ya CCM kwani anaonekana wazi wazi kwamba hana nia nzuri na nchi yetu mishipa ya shingo inamtoka jukwaani akisisitiza atakopa atakopa Rais gani wa nchi anasimama jukwaani kulilia kwenda kuyavaa mabenki ya nje kukopa??,,, kumtoa Lukuvi wizara ya ardhi kweliii??? Nape kumbe kujipendekeza kote kule ilikuwa ni dili la uwaziri na Ridhiwani pia waziri ama kweli Tanzania sasa imeisha
Angalieni utumbo wa teuzi za Tanesco kwenye ulaji na leo ardhi ambako umiliki wa ardhi wa vigogo ilikuwa ishu nzito leo Lukuvi kaondolewa ili Samia awafurahishe wahalifu
Kiufupi Samia hatufai na mjadala sasa uwe huo
Bado umekariri mkuu, tazama vizuri ulichoongeaLukuvi na Kabudi ni miaka sitini kwenda mbele. Wameshafikia umri wa kustaafu ni sawa na Mzee Mkuchika. Wanafanya kazi ndani ya muda wa kukopa (borrowed time).
Kubaliana na ukweli huo kuliko kubakia kulialia.
Sasa mnajua lukuvi katokea wapi?1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!
2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo katika nchi yetu
3. Ili nchi yetu tupate maendeleo ya dhati, nashawishika kusema, hata mgombea wa uraisi wananchi ndio watoe mapendekezo ya nani wanafikiri anaweza kupeperusha Bendera kutoka kwenye vyama vyao, hii itasaidia kuondoa hira za watu wachapa kazi!
Sifahamu njia bora itakayotumika kwa urahisi kufanyika hilo,
Watu wote wenye ndoto kubwa na Tanzania huwa wanaishia kufukuzwa chama, ama kufanyiwa mizengwe ili tu wasifikie huko, hasa wenye misimamo ya kweli isiyo yumba kuhusu ukweli wa haki za wananchi
Ndiyo, Tumekuwa na mawaziri wengi, ila Mh Lukuvi amekuwa zaidi ya waziri
Mh Lukuvu, popote ulipo, watanzania wanajua, dunia inajuwa kwamba wewe, ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo Mkubwa wa kuchapa kazi na kusimamia kwa nguvu zote haki za wananchi
Wayahudi wakamuuliza Herode, Kwa nini umeamlisha Msalabani kuandikwe, Huyu ndiye mfalme wa wayahudi,?
Herode akasema, Lililoandikwa limeandikwa!
Mh Lukuvu, Kilichoandikwa juu yako, hakitajarisha chichote katika safari yako,Ni sharti kitimie, Mungu akubariki kwa kazi yako njema na kubwa sana kwa nchi yako unayoipenda kwa moyo wako wote!!
Nakupenda Tanzania nitakulinda kwa nguvu zangu zote!
Mkuu ni kama unatumia ID nyingi kwa wakati mmoja.Bado umekariri mkuu, tazama vizuri ulichoongea
Mkuu kama unampenda sana mfanye mumeo nafsi itasuuzika.
Niliacha ID zingine mwaka 2007! Nimasahau hata nywila zake...Mkuu ni kama unatumia ID nyingi kwa wakati mmoja.