Ni kweli mawazari tunao wengi, ila Mh Lukuvu ni zaidi ya waziri, kuna mtu anaogopa kufunikwa....

Umekariri mkuu...
Ukweli ni ukweli hata kama utanyongwa ukiusema! Unaweza kabisa usikusaidie lkn unabaki kuwa ukweli
Lukuvi na Kabudi ni miaka sitini kwenda mbele. Wameshafikia umri wa kustaafu ni sawa na Mzee Mkuchika. Wanafanya kazi ndani ya muda wa kukopa (borrowed time).

Kubaliana na ukweli huo kuliko kubakia kulialia.
 
Samia mnamuonea sioni kosale
Acha mwingi.
Hivi unaamini wizara hiyo itatrndewa haki ndani ya Naibu huyo wa Ardhi!! Ni ushuzi mtupu. Hapa mama amesikiza chuki za watu lakini wakumbuke ardhi ni uhai wa nchi hii una wakulima na wafugaji vita kubwa iliyokuwepo kwa kiwango kikubwa Lukuvi ameimaliza na alikuwa na mkakati mkubwa zaidi.

Lukuvi njoo ugombee Uspika walau utaweka mambo vizuri.
 
Tuanzisheni mchakato wa kumuondoa Samia kikatiba ya CCM kwani anaonekana wazi wazi kwamba hana nia nzuri na nchi yetu mishipa ya shingo inamtoka jukwaani akisisitiza atakopa atakopa Rais gani wa nchi anasimama jukwaani kulilia kwenda kuyavaa mabenki ya nje kukopa??,,, kumtoa Lukuvi wizara ya ardhi kweliii??? Nape kumbe kujipendekeza kote kule ilikuwa ni dili la uwaziri na Ridhiwani pia waziri ama kweli Tanzania sasa imeisha
Angalieni utumbo wa teuzi za Tanesco kwenye ulaji na leo ardhi ambako umiliki wa ardhi wa vigogo ilikuwa ishu nzito leo Lukuvi kaondolewa ili Samia awafurahishe wahalifu
Kiufupi Samia hatufai na mjadala sasa uwe huo
Aluta Aluta mpaki kieleweke hamna namna.
 
1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!

2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo katika nchi yetu

3. Ili nchi yetu tupate maendeleo ya dhati, nashawishika kusema, hata mgombea wa uraisi wananchi ndio watoe mapendekezo ya nani wanafikiri anaweza kupeperusha Bendera kutoka kwenye vyama vyao, hii itasaidia kuondoa hira za watu wachapa kazi!
Sifahamu njia bora itakayotumika kwa urahisi kufanyika hilo,

Watu wote wenye ndoto kubwa na Tanzania huwa wanaishia kufukuzwa chama, ama kufanyiwa mizengwe ili tu wasifikie huko, hasa wenye misimamo ya kweli isiyo yumba kuhusu ukweli wa haki za wananchi

Ndiyo, Tumekuwa na mawaziri wengi, ila Mh Lukuvi amekuwa zaidi ya waziri

Mh Lukuvu, popote ulipo, watanzania wanajua, dunia inajuwa kwamba wewe, ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo Mkubwa wa kuchapa kazi na kusimamia kwa nguvu zote haki za wananchi

Wayahudi wakamuuliza Herode, Kwa nini umeamlisha Msalabani kuandikwe, Huyu ndiye mfalme wa wayahudi,?

Herode akasema, Lililoandikwa limeandikwa!

Mh Lukuvu, Kilichoandikwa juu yako, hakitajarisha chichote katika safari yako,Ni sharti kitimie, Mungu akubariki kwa kazi yako njema na kubwa sana kwa nchi yako unayoipenda kwa moyo wako wote!!

Nakupenda Tanzania nitakulinda kwa nguvu zangu zote!
Stop this nonsense. Who is Lukuvi after all?? Hivi mnajuwa kuwa Lukuvi ni Darasa la 7 na fani yake ni mwalimu wa Grade C kwa mfumo wa UPE??

Yaani kukimbiza Mwenge na kisha kusoma kakozi ka propaganda ka miezi 3 Checkslovakia ndiye kumfanye anafaa kuwa Rais wa Tz.

Tunajuwa kadumu kwenye madaraka kwa sababu ya kuwachomolea betri mabosi wake. Maana alianza wakati wa Mkapa, then JK na Magufuli akamrithi.

Mnamu overate sana huyu na kumfanya as if kaleta maajabu kwenye sekta ya Ardhi. Wakati malalamiko yako palepale
 
Naomba ile nidhsmu ya uwoga ituishe sasa,

Mawaziri hawawezi kupitisha miswada mibovu ya serikali, Ni wakati wa wabunge sasa kusimamia haki bila kuogopa ukubwa wa vyama, miradi mibovu yote pigeni chini hata kwa kura ya wazi!
Wabunge wawapi hao? Hawa wa Tz au WA nchi Nyingine?
 
rais anayelazimisha kukopa kukopa kukopa,analiletea taifa hasara.hv hatuwezi kumtoa kikatiba!!??, Nchi inakwenda kudidimia,Kama ss wenye nchi yetu hatutopaza sauti !!
 
Lukuvi Ni jembe Sana..kumuondoa Lukuvi na kumuweka RIZ 1..Ni utapeli mkubwa Sana kwa watanganyika.. shame!
 
Mimi ni team mama lakini Kumuondoa Lukuvi Ardhi haiko Sawa kabisa. Ni Waziri anayewajibika na kujibuidisha mno. Mh. Rais najua kuna watu wako humu. Tafakari Sana kuhusu Lukuvi.
atafakali nn wakati anajua lukuvi anakubalika na anasifa za kuwa rais 2025!!? Nayy hawataki watu wenye sifa na wanakubalika kuwa rais!!? uroho wa kuendelea kubaki white house!!
 
1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!

2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo katika nchi yetu

3. Ili nchi yetu tupate maendeleo ya dhati, nashawishika kusema, hata mgombea wa uraisi wananchi ndio watoe mapendekezo ya nani wanafikiri anaweza kupeperusha Bendera kutoka kwenye vyama vyao, hii itasaidia kuondoa hira za watu wachapa kazi!
Sifahamu njia bora itakayotumika kwa urahisi kufanyika hilo,

Watu wote wenye ndoto kubwa na Tanzania huwa wanaishia kufukuzwa chama, ama kufanyiwa mizengwe ili tu wasifikie huko, hasa wenye misimamo ya kweli isiyo yumba kuhusu ukweli wa haki za wananchi

Ndiyo, Tumekuwa na mawaziri wengi, ila Mh Lukuvi amekuwa zaidi ya waziri

Mh Lukuvu, popote ulipo, watanzania wanajua, dunia inajuwa kwamba wewe, ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo Mkubwa wa kuchapa kazi na kusimamia kwa nguvu zote haki za wananchi

Wayahudi wakamuuliza Herode, Kwa nini umeamlisha Msalabani kuandikwe, Huyu ndiye mfalme wa wayahudi,?

Herode akasema, Lililoandikwa limeandikwa!

Mh Lukuvu, Kilichoandikwa juu yako, hakitajarisha chichote katika safari yako,Ni sharti kitimie, Mungu akubariki kwa kazi yako njema na kubwa sana kwa nchi yako unayoipenda kwa moyo wako wote!!

Nakupenda Tanzania nitakulinda kwa nguvu zangu zote!
Alisema kanisani Zanzibar hawataiachia wataendelea kuitawala kijeshi., ni mtu mwenye roho mbaya na dikteta na anayeichukia kuona zanzibar inasimama kwa miguu yake.,

Tunampongeza Mama samia kwa kumueka pembeni, shida yake ni urais wa JMT aifanye Zanzibar mkoa

Lukuvi hafai yeye ndio no1 kumpiga mama vita asigombee 2025 au jina lake likatwe, mwache apotelee mbali huko ni sukumageng mrengo wa magu, ana roho mbyya kabisa
 
1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!

2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo katika nchi yetu

3. Ili nchi yetu tupate maendeleo ya dhati, nashawishika kusema, hata mgombea wa uraisi wananchi ndio watoe mapendekezo ya nani wanafikiri anaweza kupeperusha Bendera kutoka kwenye vyama vyao, hii itasaidia kuondoa hira za watu wachapa kazi!
Sifahamu njia bora itakayotumika kwa urahisi kufanyika hilo,

Watu wote wenye ndoto kubwa na Tanzania huwa wanaishia kufukuzwa chama, ama kufanyiwa mizengwe ili tu wasifikie huko, hasa wenye misimamo ya kweli isiyo yumba kuhusu ukweli wa haki za wananchi

Ndiyo, Tumekuwa na mawaziri wengi, ila Mh Lukuvi amekuwa zaidi ya waziri

Mh Lukuvu, popote ulipo, watanzania wanajua, dunia inajuwa kwamba wewe, ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo Mkubwa wa kuchapa kazi na kusimamia kwa nguvu zote haki za wananchi

Wayahudi wakamuuliza Herode, Kwa nini umeamlisha Msalabani kuandikwe, Huyu ndiye mfalme wa wayahudi,?

Herode akasema, Lililoandikwa limeandikwa!

Mh Lukuvu, Kilichoandikwa juu yako, hakitajarisha chichote katika safari yako,Ni sharti kitimie, Mungu akubariki kwa kazi yako njema na kubwa sana kwa nchi yako unayoipenda kwa moyo wako wote!!

Nakupenda Tanzania nitakulinda kwa nguvu zangu zote!

Ila mama kiukweli tangu siku anakuwa raisi sikumkubali cuz niliisi kuna jambo litaikumba nchi yetu!!! Na hapa ndo kaanza kutupiga ni Sawa vijana kupewa nafasi lakini kwann hawa hawa Hakuna wengine? Ifike mahali hii katiba tuikatae Waziri mkuu achaguliwe na raisi lakini hw wengine iwe ni position wanaomba kama waomba ajira wengine zitangazwe na vigezo visiwe ni uwe mwanachama wa chama chochote!!! Nafikiri hapa ndo tutasonga ila kwa staili hii naona nikulipa fazila
 
Shida sio mama, tatizo ni walio nyuma ya mama..

Wanamjaza hofu mnoo mama! Hadi anakosa utulivu! Sjui kina nani hawa! Ndio usalama wa Taifa au vigogo flani hapo CCM?

kila tunavyosonga mbele ndivyo hofu inamjaa mama hasa ya 2025! Yaani nasikitika hao walionyuma ya mama wanamfanya awaze zaidi 2025 kuliko yampasayo sasa!

#MPUMZISHENI MAMA!
hamana kitu,ni yeye mwenyewe uroho umemjaa !!kwani anashindwa kutumia akili yake mwenyewe!?
 
Tuanzisheni mchakato wa kumuondoa Samia kikatiba ya CCM kwani anaonekana wazi wazi kwamba hana nia nzuri na nchi yetu mishipa ya shingo inamtoka jukwaani akisisitiza atakopa atakopa Rais gani wa nchi anasimama jukwaani kulilia kwenda kuyavaa mabenki ya nje kukopa??,,, kumtoa Lukuvi wizara ya ardhi kweliii??? Nape kumbe kujipendekeza kote kule ilikuwa ni dili la uwaziri na Ridhiwani pia waziri ama kweli Tanzania sasa imeisha
Angalieni utumbo wa teuzi za Tanesco kwenye ulaji na leo ardhi ambako umiliki wa ardhi wa vigogo ilikuwa ishu nzito leo Lukuvi kaondolewa ili Samia awafurahishe wahalifu
Kiufupi Samia hatufai na mjadala sasa uwe huo
Mkoa wa pwani umetoa mawazi watano kwa mpigo. Kwa ubora gani?
 
Lukuvi na Kabudi ni miaka sitini kwenda mbele. Wameshafikia umri wa kustaafu ni sawa na Mzee Mkuchika. Wanafanya kazi ndani ya muda wa kukopa (borrowed time).

Kubaliana na ukweli huo kuliko kubakia kulialia.
Bado umekariri mkuu, tazama vizuri ulichoongea
 
1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!

2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo katika nchi yetu

3. Ili nchi yetu tupate maendeleo ya dhati, nashawishika kusema, hata mgombea wa uraisi wananchi ndio watoe mapendekezo ya nani wanafikiri anaweza kupeperusha Bendera kutoka kwenye vyama vyao, hii itasaidia kuondoa hira za watu wachapa kazi!
Sifahamu njia bora itakayotumika kwa urahisi kufanyika hilo,

Watu wote wenye ndoto kubwa na Tanzania huwa wanaishia kufukuzwa chama, ama kufanyiwa mizengwe ili tu wasifikie huko, hasa wenye misimamo ya kweli isiyo yumba kuhusu ukweli wa haki za wananchi

Ndiyo, Tumekuwa na mawaziri wengi, ila Mh Lukuvi amekuwa zaidi ya waziri

Mh Lukuvu, popote ulipo, watanzania wanajua, dunia inajuwa kwamba wewe, ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo Mkubwa wa kuchapa kazi na kusimamia kwa nguvu zote haki za wananchi

Wayahudi wakamuuliza Herode, Kwa nini umeamlisha Msalabani kuandikwe, Huyu ndiye mfalme wa wayahudi,?

Herode akasema, Lililoandikwa limeandikwa!

Mh Lukuvu, Kilichoandikwa juu yako, hakitajarisha chichote katika safari yako,Ni sharti kitimie, Mungu akubariki kwa kazi yako njema na kubwa sana kwa nchi yako unayoipenda kwa moyo wako wote!!

Nakupenda Tanzania nitakulinda kwa nguvu zangu zote!
Sasa mnajua lukuvi katokea wapi?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sijajua kitugani kimemfanya Mama kumuondoa Lukuvi kwenye ardhi.

Nimeshangaa sana, kunakitu hakiko sawa mahali.
 
Hivi kuna dhambi gani kutamani, kufikiria kimyakimya na ikibidi hata kuthubutu kitamka 2025 nita gombea urais.

Kama natekeleza majukumu yangu sawasawa bila kumhujumu yeyote dhambi ipo wapi?
 
Back
Top Bottom