Ni kweli mawazari tunao wengi, ila Mh Lukuvu ni zaidi ya waziri, kuna mtu anaogopa kufunikwa....

Mimi ni team mama lakini Kumuondoa Lukuvi Ardhi haiko Sawa kabisa. Ni Waziri anayewajibika na kujibuidisha mno. Mh. Rais najua kuna watu wako humu. Tafakari Sana kuhusu Lukuvi.
 
Mchengerwa na Lukuvi walifiti sana kwenye wizara zao.Nimesikitika.
Kuunganisha wizara biashara,uwekezaji nakuwatoa wale mawaziri ni bigup!
 
Wanasiasa wanajali masilahi yao tu. Kama Lukuvi anamwekea kiwingu kwenye urais 2025, lazima amtoe. Maslahi yako na Taifa siyo kipaumbele cha mwanasiasa. Viongozi walikuwa walioleta uhuru. Hawa wa sasa ni wanasiasa tu.
Mimi ni team mama lakini Kumuondoa Lukuvi Ardhi haiko Sawa kabisa. Ni Waziri anayewajibika na kujibuidisha mno. Mh. Rais najua kuna watu wako humu. Tafakari Sana kuhusu Lukuvi.
 
1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!

2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo katika nchi yetu

3. Ili nchi yetu tupate maendeleo ya dhati, nashawishika kusema, hata mgombea wa uraisi wananchi ndio watoe mapendekezo ya nani wanafikiri anaweza kupeperusha Bendera kutoka kwenye vyama vyao, hii itasaidia kuondoa hira za watu wachapa kazi!
Sifahamu njia bora itakayotumika kwa urahisi kufanyika hilo,

Watu wote wenye ndoto kubwa na Tanzania huwa wanaishia kufukuzwa chama, ama kufanyiwa mizengwe ili tu wasifikie huko, hasa wenye misimamo ya kweli isiyo yumba kuhusu ukweli wa haki za wananchi

Ndiyo, Tumekuwa na mawaziri wengi, ila Mh Lukuvi amekuwa zaidi ya waziri

Mh Lukuvu, popote ulipo, watanzania wanajua, dunia inajuwa kwamba wewe, ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo Mkubwa wa kuchapa kazi na kusimamia kwa nguvu zote haki za wananchi

Wayahudi wakamuuliza Herode, Kwa nini umeamlisha Msalabani kuandikwe, Huyu ndiye mfalme wa wayahudi,?

Herode akasema, Lililoandikwa limeandikwa!

Mh Lukuvu, Kilichoandikwa juu yako, hakitajarisha chichote katika safari yako,Ni sharti kitimie, Mungu akubariki kwa kazi yako njema na kubwa sana kwa nchi yako unayoipenda kwa moyo wako wote!!

Nakupenda Tanzania nitakulinda kwa nguvu zangu zote!
Mkuu hata juzi kule Twitter nilisema Kati ya mawaziri wenye akili kubwa ni mh lukuvi Leo nashangaa Tena haya ya hangaya Nadhani utendaji wake ulio tukuka ndio umemgalimu, Nadhani namba anayo icheza inawezekana uwezo allo uonyesha umetishie kibaluwa cha kocha hivyo iri kibaluwa vha kocha kiwe na uhai niladhima lukuvi asepe
 
Mkuu kama unampenda sana mfanye mumeo nafsi itasuuzika.
 
Mkuu hata juzi kule Twitter nilisema Kati ya mawaziri wenye akili kubwa ni mh lukuvi Leo nashangaa Tena haya ya hangaya Nadhani utendaji wake ulio tukuka ndio umemgalimu, Nadhani namba anayo icheza inawezekana uwezo allo uonyesha umetishie kibaluwa cha kocha hivyo iri kibaluwa vha kocha kiwe na uhai niladhima lukuvi asepe
Tuonyeshe huo ukubwa wa akili yake
 
Yani Lukuvi na Kabudi wanandoto za urais kuliko January? Hahahahaha hii inji hii daah ...
 
Lukuvu, popote ulipo, watanzania wanajua, dunia inajuwa kwamba wewe, ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo Mkubwa wa kuchapa kazi na kusimamia kwa nguvu zote haki za wananchi

Watanzania gani?? Wewe peke ako, ameahindwa kufanya kitu amebakia na matamko tu
 
Shida sio mama, tatizo ni walio nyuma ya mama..

Wanamjaza hofu mnoo mama! Hadi anakosa utulivu! Sjui kina nani hawa! Ndio usalama wa Taifa au vigogo flani hapo CCM?

kila tunavyosonga mbele ndivyo hofu inamjaa mama hasa ya 2025! Yaani nasikitika hao walionyuma ya mama wanamfanya awaze zaidi 2025 kuliko yampasayo sasa!

#MPUMZISHENI MAMA!
 
Siwezi kutetea matumbo ya watu wakati Mimi mwenyewe Sina kazi.
Kwangu aliyepata hayaa aliyekosa hayaa.
Kila mtu ashinde mechi zake
Utake usitake kukosewa ama kupatiwa kwa teuzi hizo lazima zilete athari kwako either positively or negatively
 
Back
Top Bottom