Pre GE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

Pre GE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Basi ingekuwa vyema sana wewe “uvujishe” hao viongozi uliowasikia. Labda kama ID yako ni real na unafahamika. Manake hapa mjadala unawezekana tu kukiwa na uhakika uhakika wa taarifa.

Jinsi ulivyouliza inabidi usubiri “insiders” wa viongozi wa CHADEMA wajitokeze kukuthibitishia hizo tetesi unazoziulizia. Kitu ambacho si rahisi. Na sisi JF Great Thinkers inabidi tuwe kimya tukisubiria hizo za “ndani”.

It’s a rather uncomfortable situation you’re subjecting us to. Naamini kuna namna bora zaidi ungetumia kuleta mada inayojadilika moja kwa moja. Otherwise subiri mahasimu wa CHADEMA na Mbowe wajazane hapa kusema chochote cha kujifurahisha nafsi zao.
Nimekusoma, tena kwa uangalifu mkubwa sana mkuu 'Drifter' kwenye andiko lako hapa. Naona kuna namna fulani ya 'trend' katika maandiko haya, ambayo naanza kujifunza kuyadadavua vizuri niyaelewe.
Heshima mkuu.
 
Mbowe, Mnyika, Lissu na wakongwe wengine ndani ya chama kama Msigwa ata kama sasa ni mwanachama wa kawaida inabidi wakae chini na kujipanga kwa uchaguzi wa mwakani.

Iwapo uchaguzi wa vigogo ndani ya chama umejaa malalamiko hivi, mwakani kwenye kura za maoni za kupata wabunge na madiwani watu watakatana mapanga hasa kwenye nafasi za ubunge.

Labda ndio mwanzo wa kuelekea mwisho wa CDM.
Hayo ni matamanio ya kila mwanaccm, lakini haitakuwa hivyo. Watu kuwa na mitizamo tofauti siyo uadui.
 
Basi ingekuwa vyema sana wewe “uvujishe” hao viongozi uliowasikia. Labda kama ID yako ni real na unafahamika. Manake hapa mjadala unawezekana tu kukiwa na uhakika uhakika wa taarifa.

Jinsi ulivyouliza inabidi usubiri “insiders” wa viongozi wa CHADEMA wajitokeze kukuthibitishia hizo tetesi unazoziulizia. Kitu ambacho si rahisi. Na sisi JF Great Thinkers inabidi tuwe kimya tukisubiria hizo za “ndani”.

It’s a rather uncomfortable situation you’re subjecting us to. Naamini kuna namna bora zaidi ungetumia kuleta mada inayojadilika moja kwa moja. Otherwise subiri mahasimu wa CHADEMA na Mbowe wajazane hapa kusema chochote cha kujifurahisha nafsi zao.
Well said !
 
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.

Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.

Wajumbe hao ni Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje ambao inaonekana Mbowe HAWATAKI.
Sasa mtu Chans ni chake si awatimue kama Zittto tuu..
 
tatizo mbowe akitoka chama kimekufa hawajiandaa kuwa na mwenyekiti mwingine
Huko nyuma nilikuwa sikubaliani na mitazamo ya aina hii, lakini kwa yale yaliyokuwa yanatamkwa kwenye mikutano ya kampeni kwenye chaguzi za kanda za chama nimeamini kuwa Chadema inamuhitaji Mbowe kwa siku nyingine kadhaa zijazo.
 
Umoja wa Mbowe, Mdee na Esther Bulaya ukifadhiliwa na mabosi wa Utopolo SC unaenda kuiuwa Chadema

Nimekaa pale 🐼
Inabidi nijieleze tu kwamba nilitaka kutia alama za "kicheko na kushukuru" kwa pamoja katika haya maneno yako, lakini naruhusiwa kuweka alama moja tu!

Mwenyekiti Mbowe kawa mwanafunzi mzuri sana, tena kwa uwezo wa haraka kubwa wa kumwelewa mwalimu wake katika mazungumzo ya "maridhiano,"Samia. Lugha za staha sasa, au kuyanyamazia maswala na kelele nyingi, huku mambo yakiendelea bila ya pingamizi, sasa ni mtindo maridhawa unaoendelea ndani ya CHADEMA.

Watakao penda kushangaa huko mbele ya safari mambo yatakapowekwa wazi, hilo ni shauri lao wenyewe. Chama kitakuwa kimekwishavuka na kuingia katika ngazi nyingine tofauti kabisa na sasa.

Ujanja ujanja katika nchi ya wajinga wengi hulipa sana!
 
Mbowe anasimama Kwenye Misingi ya Waasisi kwamba lengo la Chadema Siyo kutwaa Dola bali mabwanyenye kuweka mifumo ya wao kunufaika katikati ya Itikadi tofauti tofauti

Tundu Lisu ana misimamo ya ile NCCR mageuzi asilia ya kushika Dola

Ndio unaona hata Zitto Kabwe mwanafunzi mtiifu wa Mbowe hana Mpango na kushika Dola yeye anachungulia fursa Tu sema OMO na Jussa wameshamweka pembeni

Ili Tundu Lisu aziendee Ndoto zake ni lazima Mbowe ang'atuke vinginevyo Lisu ahame chama
 
Sumu haionjwi aliambiwa na Sumaye na Mbowe
Maneno yalikuwa ni mazito. Lakini kwa vyevyote iwavyo uchaguzi huu wa wenyeviti wa kanda haitaiacha CHADEMA salama. Kwani yaliyo tendeka kila mwananchi karudi nyumbani na kujiuliza- Hivi CHADEMA niliyojiunga nayo jana ndio CHADEMA niniyoitaka ichukue uongozi/urais Tanzania?

Jibu halipatikani JF, bali kwenye makundi ya wanaCHADEMA wanapokutana. Sisi hapa JF ni washereheshaji tu.
 
Mnajadili upumbavu,kwamba kamati kuu ya CHADEMA wajumbe wake ni wenyeviti wa kanda tu au?
Wenje kapitaje sasa kuwa mwenyekiti wa kanda kama mbowe hamtaki,na umesema Mbowe ana nguvu ya kuamua chochote ndani ya CHADEMA?
????? Basi Wenje ni kiboko. Ila si kila unapolenga shabaha unapatia, inaweza kula kwako vile vile.
 
CCM ya Samia je, wanawataka hao wajumbe kuwemo ndani ya CHADEMA?
Hili linaweza kuwa swali ambalo ukiliangalia kwa haraka usiweze kulielewa uhusiano wake na hayo uliyo andika hapo.

Kama uliyo andika yana chembechembe ya ukweli wowote ndani yake, hilo halitakuwa jambo la kushangaza sana kwa baadhi yetu wasomaji wako.
Jibu ni rahisi sana! Jiulize, kama kuna mtafaruku kati ya Lissu na Mbowe itaongeza au kupunguza kura za uchaguzi S. mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025? Hapo ndiko kwenye Faida na hasara kwa CCM. Mambo yote ni ya kisayansi tu siku hizi. Hutumii Drones bali akili tu.
 
Mbowe anasimama Kwenye Misingi ya Waasisi kwamba lengo la Chadema Siyo kutwaa Dola bali mabwanyenye kuweka mifumo ya wao kunufaika katikati ya Itikadi tofauti tofauti
Inanibidi ni-'internalize" haya maneno, ni 'concept' mpya kwangu, lakini nauona uzito wake ulivyo; hasa nikiyaunganisha na aliyowahi kuyatamka Mbowe mwenyewe mara kadhaa kwa maandishi.

Kwa Samia, naona adhma ya waasisi hao na kwa Mbowe mwenyewe hali hiyo haijawahi kuwa nzuri kuliko ilivyo sasa.
 
Wewe mwenyewe umeona Wanamageuzi akina Selasini, Mtikila, Lwakatare, Kubenea walivyoshindwa kuendana na missions za Chadema na kurejea Kwenye vyama vyao

Kuna Wakati mchungaji Mtikila aligombea Ubunge Jimbo la Ludewa kwa ticket ya Chadema, aisee nilicheka sana!
 
Mbowe anasimama Kwenye Misingi ya Waasisi kwamba lengo la Chadema Siyo kutwaa Dola bali mabwanyenye kuweka mifumo ya wao kunufaika katikati ya Itikadi tofauti tofauti

Tundu Lisu ana misimamo ya ile NCCR mageuzi asilia ya kushika Dola

Ndio unaona hata Zitto Kabwe mwanafunzi mtiifu wa Mbowe hana Mpango na kushika Dola yeye anachungulia fursa Tu sema OMO na Jussa wameshamweka pembeni

Ili Tundu Lisu aziendee Ndoto zake ni lazima Mbowe ang'atuke vinginevyo Lisu ahame chama
Unaamini Mbowe hawataki hao jamaa ndani ya chama? Na ana namna ya kuwaondoa?
 
Back
Top Bottom