Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku ni kudanganyanaa wazi wazi. Muwaonee huruma watu bhana.Ndio..kuna level mtu anayetumia dawa kama anatumia dawa vizuri anakuwa mtu asiyeweza kuambukiza wengine...ndo maana Serikali inatilia mkazo watu watumie dawa vizuri..
Hii ni sayansi sio porojo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mapenzi ni upofu wallah.Ila kuna watu wanajua kupenda acha kabisa. Kuna mtu tunafanya nae kazi anampenda huyo mdada na mdada kamwambia ameathirika.
Jamaa haelewi hadi wakapima kwenye bibie kawaka.
Bibie anamwambia jamaa yeye hawezi kuwa na mtu ambaye hajaathirika hataki kunyanyapaliwa, huyu mwamba eti akamwambia “niambukize na mimi basi ili tuwe sawa”. Ilibaki kidogo nimlambe kofi alivyokuwa ananihadithia ila nikagundua mapenzi upofu.
Hebu eleza kwa undanii zaidi, mnatuchangqnyaa waja wallah.100% Ni kweli..
Na watu wengi sana wanaishi ni Serodiscordant..
Sisemi Kwa ushabiki bali nimeshuhudia sana..
Watu wengi ambao mara Nyingi tunaruhusu mahusiano hayo ni wale waliopima HVL na mara nyingi Huwa Zinasoma TND..("Target Not Detected")
Huyu ana Percent chini ya 0.01 ya kumuambika mwingine na hata wakinamama wakifika Hapa huwa wanaruhusiwa kuwa na watoto yaani kuchukua mimba na kuzaa..
Watu hawajiulizi kwanini Serostatus (Maambukizi) ya Watu hayaongezeki na yanazidi kupungua?
Kwanini siku hizi Idadi ya watoto Wadogo wenye maambukizi imepungua Sana tofauti na Zamani..
Jibu Ni moja Tu kuwa inawezekana na mifano ninayo na nimeiona si chini ya couple 100 zikiishi hivyo na kwa furaha
Kama kuna mtu mwenye swali namkaribisha maana hii ni moja ya Sehemu zangu za kujidai
😂 jirani nimehoji tu kwa mfano wewe na bebe wako ndio mshapima tayari yeye anao na wewe huna alafu anataka zagada kwa gharama yeyote ile.Nini??? Mapomboo yako, kwani mi nauza mwili?? Umeamka na hangover??
Na weweNenda kafanye ..
Uongo mtupu.Huo ndio ukweli,naamini kila mmoja wetu alishagonga demu victim ila kwavile wanatumia dozi hakuna maambukizimakubwa,mara ngapi umeuza mechi ila uko safe now,jibu ni matumizi fasaha ya ARV kwa unowagonga
Ukimwi ungekuwa unaenezwa kwa ngono, nusu ya watanzania wote wangekuwa na miwaya.Hebu eleza kwa undanii zaidi, mnatuchangqnyaa waja wallah.
🤣🤣🤣 bahati yako nilishaenda kufunua kitabu cha matusi mfyuuu!!😂 jirani nimehoji tu kwa mfano wewe na bebe wako ndio mshapima tayari yeye anao na wewe huna alafu anataka zagada kwa gharama yeyote ile.
We phalla kumbe daktari wa ukweli?😂😂😂100% Ni kweli..
Na watu wengi sana wanaishi ni Serodiscordant..
Sisemi Kwa ushabiki bali nimeshuhudia sana..
Watu wengi ambao mara Nyingi tunaruhusu mahusiano hayo ni wale waliopima HVL na mara nyingi Huwa Zinasoma TND..("Target Not Detected")
Huyu ana Percent chini ya 0.01 ya kumuambika mwingine na hata wakinamama wakifika Hapa huwa wanaruhusiwa kuwa na watoto yaani kuchukua mimba na kuzaa..
Watu hawajiulizi kwanini Serostatus (Maambukizi) ya Watu hayaongezeki na yanazidi kupungua?
Kwanini siku hizi Idadi ya watoto Wadogo wenye maambukizi imepungua Sana tofauti na Zamani..
Jibu Ni moja Tu kuwa inawezekana na mifano ninayo na nimeiona si chini ya couple 100 zikiishi hivyo na kwa furaha
Kama kuna mtu mwenye swali namkaribisha maana hii ni moja ya Sehemu zangu za kujidai
Wizo miwaya inatisha.🤣🤣🤣 bahati yako nilishaenda kufunua kitabu cha matusi mfyuuu!!
Sasa bebe ana miwaya mi wa nini.?? Pesa ikahatarishe afya yangu??!! Hivi unajua km mtaji wa kwanza hapa duniani ni afya yako??
Jirani ilinde afya yako kwa gharama yoyote ile ikiondoka imeondoka nakwambia oooh!!
Mtu mwenye TND..?Mtu wa hivyo, kwa vile vipimo vyetu ambavyo watu wengi tunajipima akipima itasoma positive au negative
🤣🤣🤣🤣 wizo miwaya siyo kabisaaa!!Wizo miwaya inatisha.
Wowowo lako lote litaporomoka ubaki kama fidodido.