Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Hapa Tanzania angepumzikia wapi wakati kila sehemu ni kuchafu, matope, vumbi na harufu zisizoeleweka.
 
Kazi na bata
 
Labda ilienda Coco au msasani
 
Mama anastahili kupumzika Dubai, anaongoza nchi kubwa sana ya watu milioni 60, wakati Kuna wanaume wamekimbia familia ya mtoto moja. Imagine unaongoza nchi ambayo ndani yake Kuna majitu ya hovyo kama Mdude
 
Ndiyo na kupeleka madini kama lile likilouzwa bilion of money badae tulipoanza kuhoji wakaja na hoja kuwa lile lilikuwa milion 4 walikosea hesabau
 
Rais wa nchi lakini utasikia
Afya ni suala binafsi na wanaweka utaratibu kuwa afya za viongozi ni suala binafsi wakati hela.inayotumika siyo ya binafsi

Haya, safari za nje za kiongozi ni suala binafsi wakati Hazina ndo inakwanguliwa kugharimia hizi move.


Watanzania tunahitaji kujitambua
 
Hii ndege ilienda matengenezo ya kifaa kimoja kwenye base ya gulfstream iliyoko Dubai. Hiyo ndege ilikuwa Tz siku zote, angalia history yake kwenye hiyo Flight Radar 24, imeenda under short test and maintenance.

Sijui kwanini mnakuwa wapotoshaji hivi, kwani hata Mh. Rais akiwa Dubai kuna tatizo gani..
 
Ila hatazalisha akini kadogosa wengine wa 500blion
 
Kuna mtu alisema hii kadhia ya ubadhirifu huenda akasafiri [emoji3][emoji28]

Kumbe ni kweli?

Pressure ni kubwa aisee!

Watanzania sijui wameanza kujitambua?!

Maana naona wamechachamaa wanataka hatua zichukuliwe haraka bila subira yoyote.

Lakini hawawezi wafikia Wakenya.

Wakenya ni Habari nyingine !

Hawaogopi askari wala kiongozi.

Uoga ni dhambi.
 
Tukushangae wewe unaesema ilikuwa katika matengenezo kumbe mtu alienda kufanya shopping Dubai
 
ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai

Kilichokuwa tracked ni ndege ambayo si ajabu ukaambiwa ilikuwa matengenezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…