Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Matobo kwenye mapipa yanapishana kiasi kwamba nchi masikini kama Tanzania ina matobo makubwa sana compared to a country like FINLAND! Hivyo do not justify ufisadi uliokithiri bongo kwa kusema eti ufisadi umetapakaa Dunia nzima!!
Ufisadi upo toka awamu ya Nyerere mkuu Bulesi haujaanza na report ya sasa ya CAG. Hakuna anayehalalisha wizi, kwani wizi ni wizi tu.

Kuna kazi kubwa inafanyika na kuna mengi chanya yanayoendelea nchi nzima, ukiachana na hizi siasa nyepesi za propaganda ambazo watanzania tunazijua sana.

JPM alizijua siasa za kutumia vyombo vya habari na akahakikisha anatangazwa yeye tu mpaka akafikia hatua ya kuua kabisa upinzani ili sifa azibebe yeye peke yake.

SSH ameona hiyo haina tija kwake na anaruhusu uhuru wa kukosolewa na kupingwa, Haimsumbui Samia kukosolewa na kuonyeshwa wapi anakosea kuliko ilivyokuwa ikimtesa JPM katika miaka yake mitano na miezi minne ya kuwa pale ikulu.
 
Hawakuzima transponder inayoonyesha ndege ilipo kwa usalama wake
 
Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na dakika chache zilizopita ilikuwa imeshatua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwal Nyerere.

View attachment 2585662View attachment 2585663

Hii Tanzania Watanzania wakiitaka?
Kwani hiyo ndege kila inapoenda ni Rais yupo ndani? Huwa mara nyingine anaitumia Makamu wa Rais ama viongozi muhimu kwa idhini ya ikulu, na mara nyingi rais au makamu wakipanda callsign inakuwa TANZ01 au TZ02. So tuache ujuaji na kupotosha, yaweza kuwa ilikwenda kwa shughuli nyingine kabisa! Kwanza kipindi cha Ramadhani hiki tena uarabuni, utaenda kula bata gani huko?🤣
 
Ufisadi upo toka awamu ya Nyerere mkuu Bulesi haujaanza na report ya sasa ya CAG. Hakuna anayehalalisha wizi, kwani wizi ni wizi tu.

Kuna kazi kubwa inafanyika na kuna mengi chanya yanayoendelea nchi nzima, ukiachana na hizi siasa nyepesi za propaganda ambazo watanzania tunazijua sana.

JPM alizijua siasa za kutumia vyombo vya habari na akahakikisha anatangazwa yeye tu mpaka akafikia hatua ya kuua kabisa upinzani ili sifa azibebe yeye peke yake.

SSH ameona hiyo haina tija kwake na anaruhusu uhuru wa kukosolewa na kupingwa, Haimsumbui Samia kukosolewa na kuonyeshwa wapi anakosea kuliko ilivyokuwa ikimtesa JPM katika miaka yake mitano na miezi minne ya kuwa pale ikulu.

Tatizo la Samia ni kwamba kweli anasema kuwa ana nia nzuri na Taifa hili lakini hao wanaomzunguka ndio wanaomuuzia mbuzi kwenye gunia; hataki kusikiliza ushauri wa sisi tunaoishi na hao anaowateua na kuwajua kuwa ni waadilifu au la!!

Nitakupa mfano mmoja wa huyo kijana alimteua kuongoza TANESCO, huyu kijana alikua anauza madish ya TV pale DSTV ;rafiki yeke alipopata uwaziri akampendekeza aje aongoze TANESCO badala ya watu waliobobea na shirika lile na matokeo yake ni kupiga hela kwa kwenda mbele kwa mikataba ya IT ilijaa rushwa na huku wananchi tunaendelea na mgao wa umeme! very sad.
Phillipo mueleze mama awe anatusikiliza na sisi huku kwenye key board tutamsaidia kuwafichua hao wanaomdanganya!!
 
Leo Msemaji Wa Serikali Comrade Msigwa Anahojiwa BBC Mpaka Anashindwa Kujibu Tu Swali Dogo. Mkataba Ni Wa Miaka Mingapi?
Yaani Tanzania Kama Tumesomewa Surrat~Zubaa Vile
Msigwa ulanzi aliokunywa udogoni umevuruga akili yake.Anaogopa kupokonywa tonge..
 
tumeelekezwa kwenye habari za Yanga kumbe kunadili kubwa wanalipitisha shame..
 
Leo Msemaji Wa Serikali Comrade Msigwa Anahojiwa BBC Mpaka Anashindwa Kujibu Tu Swali Dogo. Mkataba Ni Wa Miaka Mingapi?
Yaani Tanzania Kama Tumesomewa Surrat~Zubaa Vile

Msigwa kawa Chawa Pro-Max, TANZANIA ya sasa bora hata ya Kikwete.
 
Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na dakika chache zilizopita ilikuwa imeshatua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwal Nyerere.

View attachment 2585662View attachment 2585663

Hii Tanzania Watanzania wakiitaka?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Leo Msemaji Wa Serikali Comrade Msigwa Anahojiwa BBC Mpaka Anashindwa Kujibu Tu Swali Dogo. Mkataba Ni Wa Miaka Mingapi?
Yaani Tanzania Kama Tumesomewa Surrat~Zubaa Vile
so sad
 
alikuwa kaenda kula bata baada ya kusaini bandari na dp world

mzanzibar anajiienjoyyyyyyyyy
 
tumeelekezwa kwenye habari za Yanga kumbe kunadili kubwa wanalipitisha shame..
Si ujinga wenu mnathamini vilabu vya mpira kuliko masuala yanayohusu ustawi wa uchumi wa nchi yenu!
Samia ameambukizwa ufisadi na Mkwere. Mama nae sasa ananuka harufu ya Dubai!
 
Back
Top Bottom