Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ufisadi upo toka awamu ya Nyerere mkuu Bulesi haujaanza na report ya sasa ya CAG. Hakuna anayehalalisha wizi, kwani wizi ni wizi tu.Matobo kwenye mapipa yanapishana kiasi kwamba nchi masikini kama Tanzania ina matobo makubwa sana compared to a country like FINLAND! Hivyo do not justify ufisadi uliokithiri bongo kwa kusema eti ufisadi umetapakaa Dunia nzima!!
Kuna kazi kubwa inafanyika na kuna mengi chanya yanayoendelea nchi nzima, ukiachana na hizi siasa nyepesi za propaganda ambazo watanzania tunazijua sana.
JPM alizijua siasa za kutumia vyombo vya habari na akahakikisha anatangazwa yeye tu mpaka akafikia hatua ya kuua kabisa upinzani ili sifa azibebe yeye peke yake.
SSH ameona hiyo haina tija kwake na anaruhusu uhuru wa kukosolewa na kupingwa, Haimsumbui Samia kukosolewa na kuonyeshwa wapi anakosea kuliko ilivyokuwa ikimtesa JPM katika miaka yake mitano na miezi minne ya kuwa pale ikulu.