matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao.
Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A.
Mazingira ya Shule binafsi idadi chache ya wanafunzi, umakini wa walimu, ufatiliaji wa karibu na chakula bora (boarding) vinakuwa vichocheo vya mtoto kufunguka na kujitambua mapema. IQ yake inahamasishwa na sio kuhafifishwa.
Mimi si mtaalam wa elimu, ila nimesoma mahala hili wazo limenishangaza ila kama nimeelewa.
Nini maoni yako, kuna ukweli wowote.