Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina 🙏Walimu mna pepo Yenu hakika, Huduma yenu ni ya kiroho zaidi. Changamoto ni nyingi lakini fanyeni kazi ya Mungu Kwa kujitoa. Maana kwenye bible imeandikwa " Watu wangu Wana angamia Kwa kukosa maarifa" na jukumu Hilo akawabebesha. Pambaneni.
Huyu nae ni mzazi!
Ninachojua mambo haya huwa mnakubaliana kwenye vikao kati ya wazazi/walezi wa Wanafunzi na walimu wa shule husika sidhani kama ni issue ya shule kujiamria tu.Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo,,,amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki Cha rikizo.
Kwenu wadau,,,naombeni mwongozo kuwa Kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni??
Rikizo❌Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo,,,amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki Cha rikizo.
Kwenu wadau,,,naombeni mwongozo kuwa Kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni??
MadameAmina 🙏
😎😎😎Madame
Hii likizo hufundishi
Aaah kaeni tu na hizo jero zenu, wazazi nongwa sana....😹Hii likizo hufundishi
😂😂😂😂Itabidi uende nae kusoma, yeye akiwa likizo ya shuleni na ww ukiwa likizo ya kibarua chako.
🤣🤣🤣Hata wewe inabidi usome memkwa.
😆😆Njoo unifundishie wangu nyumbaniAaah kaeni tu na hizo jero zenu, wazazi nongwa sana....😹
😂😂😂mpereke tu hatakama ni rikizo sababu hapo nyumbani homeworks hautaweza kumsaidia,,,mpereke bwana kwa wewe ni razima.