Ni lazima mtoto kusoma tution shuleni Kipindi hiki cha likizo?

Ni lazima mtoto kusoma tution shuleni Kipindi hiki cha likizo?

Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo,,,amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki Cha rikizo.

Kwenu wadau,,,naombeni mwongozo kuwa Kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni??

Kama hajui tofauti ya Likizo na rikizo alale huko huko tuition kabisa.
 
Ninachojua mambo haya huwa mnakubaliana kwenye vikao kati ya wazazi/walezi wa Wanafunzi na walimu wa shule husika sidhani kama ni issue ya shule kujiamria tu.

Kingine inategemea dogo Yuko darasa la ngapi kama ni Yale madarasa ya mitihani mfano la 4 na la 7 , form 2 ni busara akaudhiria ila kama tofauti na hayo madarasa sidhani kama Kuna umuhimu wwte kuhudhuria hayo masomo ya ziada.
Tz Kila mtu anakula kazin kwake,,mwl haishiwi hoja ya kuchomoa pesa ya mzaz
 
Ngoja aje Kamishina wa Elimu Mpwayugu Village atoe ufafanuzi zaidi
 
Back
Top Bottom