abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Huwezi kulazimisha mtoto aendelee kwenda shule kipindi cha likizo, wengi wenu humu mnashadadia vitu tu ila kiuhalisia program za ziada shuleni ni kupotezeana mudaWalimu mna pepo Yenu hakika, Huduma yenu ni ya kiroho zaidi. Changamoto ni nyingi lakini fanyeni kazi ya Mungu Kwa kujitoa. Maana kwenye bible imeandikwa " Watu wangu Wana angamia Kwa kukosa maarifa" na jukumu Hilo akawabebesha. Pambaneni.
Huyu nae ni mzazi!