Ni lazima mtoto kusoma tution shuleni Kipindi hiki cha likizo?

Ujinga huo, mzazi anashindwa hata kumlea mtoto wake.
 
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo,,,amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki Cha rikizo.

Kwenu wadau,,,naombeni mwongozo kuwa Kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni??

Kama hajui tofauti ya Likizo na rikizo alale huko huko tuition kabisa.
 
Tz Kila mtu anakula kazin kwake,,mwl haishiwi hoja ya kuchomoa pesa ya mzaz
 
mpereke tu hatakama ni rikizo sababu hapo nyumbani homeworks hautaweza kumsaidia,,,mpereke bwana kwa wewe ni razima.
Ampereke au sio? 🀣🀣🀣
 
Itabidi uende nae kusoma, yeye akiwa likizo ya shuleni na ww ukiwa likizo ya kibarua chako.
🀣🀣🀣🀣 Sio likizo ni β€œrikizo” mbona unapingana na mleta uzi??!
 
Ngoja aje Kamishina wa Elimu Mpwayugu Village atoe ufafanuzi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…