Ni lini adui wa mwanamke akawa mwanaume

Mimi mama yangu mbona yuko vizuri anapambana na anmetoboa na she is very smart .
Wamama wanajielewa .
Utakuta anatimiza jukumu la kuwa mama na kufanya shughuli zake kama kawaida.

Kuna hawa yani unakuta wabishi, wakopaji, hawarudi nyumbani Kwa wakati wako kwenye semina za usawa,
Wanataka watawale waume zao
 
Acheni hizi porojo zenu tumeshazizoea, kwenye ndoa za siku hizi ni jinsia gani inaongoza kwa kulalamikia maovu ya nyenzie, na unadhani ni kwa sababu gani
 
Wamama wanajielewa .
Utakuta anatimiza jukumu la kuwa mama na kufanya shughuli zake kama kawaida.

Kuna hawa yani unakuta wabishi, wakopaji, hawarudi nyumbani Kwa wakati wako kwenye semina za usawa,
Wanataka watawale waume zao



Swala la 50/50 ni Kama unavyoona Ccm na chadema ni sehemu ya watu kupata pesa.

Huwa nashangaa Sana wanawake wakiswahili wanaposhindwa kuwa humble kwa wanaume zao kwa kuipigania hiyo 50/50


Then mama yangu japo katoboa Ila baada ya kuwezeshwa Sana.

So 50/50 ni biashara za watu and nothing Else.
 
Acheni hizi porojo zenu tumeshazizoea, kwenye ndoa za siku hizi ni jinsia gani inaongoza kwa kulalamikia maovu ya nyenzie, na unadhani ni kwa sababu gani
Haujaelewa mada wewe. Mada imewagusa wanawake kwa ujumla dada, mama, mke, shangazi n.k sio waliopo ndoani tu. Mbona unalazimisha kuipeleka mada katika mlengo wako tofauti. Hata hawa wakina dada wanaoshindwa kulipa mikopo ya kausha damu ndugu tunalazimika kubeba huo msalaba wa kuyalipa, mabinti wanaopewa mimba na kuzalia nyumbani ndugu tunalazimika kubeba iyo aibu hao wote ni wanawake na wamelengwa kwenye mada. Kipi ambacho hauelewi wewe?
 
......una kitu bibie, nimekupenda ghafla, ongezekeni kidogo dunia iwe saved.....
 
Hawa feminist wana matatizo vichwani.
Wanawakaza sumu wanawake na semina zao na waathirika wa hizo harakati ni wanawake wenyewe
 
Hawa feminist wana matatizo vichwani.
Wanawakaza sumu wanawake na semina zao na waathirika wa hizo harakati ni wanawake wenyewe
Kama uyo jadda ndio anapenda ligi kinoma subiri akiweka bando atarudi nakwambia atabishana na watu 100 peke ake hapa, uyo dawa yake unampa somo na reply moja au mbili tu unaachana nae
 
Kama huwajui wanaume unaweza kudhani haya ni kwa ajili ya kuwatetea wanawake, kumbe nao wanaipambania furaha yao ila hawataki tu kukiri, badala yake wameamua kujifanya wanawasemea wanawake wakidhani labda wanawake watawasikiliza
Unaweza kufafanua in Details kuwa ni furaha gani hiyo wanaume ambayo wanaipambania na kwasababu zao binafsi zikiwa zipi? [emoji848]
 
Sasa kama wanawake wangekuwa hawanyanyaswi watu wangepoteza muda wao kuanzisha hizo NGOs, kwahiyo wanaume kuwazalisha mabinti na kukimbia majukumu unaona ni sawa ila shida iko kwa wanawake tu si ndio, malalamiko yanayotoka kwa wanaume wengi kwenye ndoa dhidi ya wake zao yanadhihirisha wanaume ndio wanateseka zaidi na maovu ya wanawake ndio maana wao ndio wanayapigia kelele
 
Haujaelewa mada upo confused hata haujui unatetea nini, unaleta maelezo ambayo hata hayahusiani na topic na kuelekezwa hautaki. Itoshe tu kusema asante kwa comment yako
 
Haka ni katoto hakajui maisha hapa kaongea hapo kwa kutumia WiFi ya Daddy na mommy, na kamemaliza form six au chuo kazi kanakwenda kufanya kwenye kampuni ya daddy na mommy so hakajui hata life la vicoba, kausha damu linaendeshwaje. Kakiwa na shida, Baba na mama wapo wanakashika mkono, sista na bro wapo vema so shida anazowaza ni ile trip ya kwenda uingereza kimasomo nita apply lini, hayo ndio matatizo ambayo kwake yapo ila swala la mateso ya mtaani anayajulia wapo sololabien mtoto shanta wa kishua huyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Angejua wenzake huku mtaani baba na mama na familia nzima wanasaidiwa na mkwe, mwanamke anaanzaje kuleta fyoko za ufeminist kwanza mama yake mzazi atamuua kabla haya mkwe /mumewe hajamlamba makofi.

Watanzania kwa asilimia kubwa ni watu wa hali ya kubangaiza sana. Wewe uje na hoja za kifeminist hapa kwenye huu uchumi wa tanzania ambao piga uwa kwa mwezi bills za nyumbani tu hazipungui milioni. Kwa hela gani sasa anayopata feminist wa kitanzania ili awese cover bills zote hizo kwa miaka 60 [emoji23][emoji23][emoji23] na hana kazi ya maana plus Maisha yasiyo na mbele wala nyuma haya ndugu hawajakufuata kukullia shida

Hawa wadudu wanahisi Maisha ni movie waacheni msiwashtue. Waje wafunzwe na ulimwengu.
 
Unaweza kufafanua in Details kuwa ni furaha gani hiyo wanaume ambayo wanaipambania na kwasababu zao binafsi zikiwa zipi? [emoji848]
Furaha ya kuwa na wake wema kwenye ndoa wake ambao watakuwa tayari kuwatii, kuwanyenyekea, kuwafariji na kuwaliwaza waume zao, maana those are among what make most men feel superior and sane in one way or another tofauti na hali ilivyo sasa, ambayo ndio inapelekea malalamiko mengi kutoka kwa wanaume kuliko kwa wanawake
 
@Nifah nakupenda nipo tayari kuwa mume wa pili usijali nitakulea we na mume mwenzangu, na wote nitawaandika kwenye urithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…