Ni lini adui wa mwanamke akawa mwanaume

Haujaelewa mada upo confused hata haujui unatetea nini, unaleta maelezo ambayo hata hayahusiani na topic na kuelekezwa hautaki. Itoshe tu kusema asante kwa comment yako
Ni wapi nilipotoka nje ya mada nioneshe, wewe kama hujanielewa sema tu acha kusingizia eti sijaelewa mada, au unataka niandike unachotaka kukisikia na kinacho kufurahisha ndio uone niko ndani ya mada
 
NI sahihi kabisa linapokuja suala la kuipitisha 50/50 wanawake wao wenyewe hawawezi kufanya maamuzi for once and for all kwa sababu wengi wao wapo broke au kuna huduma za kifedha wanategemea kuzipata kutoka kwa mwanaume, ndio hapo wamebaki kuji-position kulingana na hali zao kiuchumi, mwanamke akijimudu kuichumi anakua ferminist anataka madaraka sawa na mwanaume akiwa broke anakua submissive kwa mwanaume ili ahudumiwe kila kitu. Kama wanajiamini waipitishe 50/50 tubebe majukumu sawa kila nyanja tuone nani ataflop mapema
 
Mbona kama hii ni exaggration??? Yani umekutana na mwanamke....hauna chochote ukajenga nyumba hii hapa mke anakimbia mahakamani kuidai??

Una uhakika haujaoa mtu mwenye tatizo la akili, kama maelezo yako ni ya kweli?!
Mbona hizo incidence zipo nyingi mummie, au unaishi dunia gani??
 
Wao wakiwa wakiwa wanaleta hujuma zao za kifeminist wanahisi wanao wahujumu ni Ma X zao kumbe kuna hadi watoto wao wa kiume wanahujumiwa.
 
Unaonekana dhaifu sana na mbaya zaidi unajionyesha mchana kweupe.
 
Wako kwenye kitu kinaitwa fight against nature.
Bahati mbaya nchi za wapumbavu ndio wameichukua hii nakuivalia kibwebwe huku Big boyz wakituchora tu.
 
Ndio mchezo wake huo, ukimwambia mjadili Pepsi yeye atakuletea hoja za chai ya majani ya chai, coca-cola, mirinda nyeusi, Azam cola, oil chafu, maji aliyonawa mshika mkaa, kiwi, rangi nyeusi, yaani ataleta chochote chenye rangi nyeusi mradi tu ni cheusi na ukimuuliza why unajadili vitu ambavyo sio Pepsi atakwambia wewe si unaongelea soda nyeusi? [emoji23][emoji23][emoji23] Huwa kanachanganya hisia zake na visa vya watu then kanajengea hoja, sijui kanashida gani na ukikaelewesha ni kazito kuelewa.

Ingekuwa movie la kutisha ndio vile vijitu vinakufa mapema.
 
Kama uyo jadda ndio anapenda ligi kinoma subiri akiweka bando atarudi nakwambia atabishana na watu 100 peke ake hapa, uyo dawa yake unampa somo na reply moja au mbili tu unaachana nae
Anapenda kubisha ila ukimwambia anakwambia una muattack personally na haulengi mada. [emoji23]
 
Kwann usiseme mabinti wanazaa na wanaume irresponsible halafu wanalalamika. Why unataka ionekane mwanaume ni guilty mwanamke ni innocent? [emoji848]
 
Ni kweli kabisa.
Hatukatai wanawake kutafuta namna ya kujikimu bali, hatutarajii kuona mwanamke leo kisa anaingiza kipato basi anajipa nafasi ya uanaume.
Ndio wajiulize kwanini inatokea wanaume wasasa hawatamani kuwa na mwanamke wa aina hiyo.

Inasikitisha mwishobwa siku katika hicho kiburi cha kujitaftia wanaingia shimo ambalo hawawezi kujitoa bila msaada wa mwanaume.

Kama vinaweza tusivisikie vinalialia.
 
Haujaelewa mada upo confused hata haujui unatetea nini, unaleta maelezo ambayo hata hayahusiani na topic na kuelekezwa hautaki. Itoshe tu kusema asante kwa comment yako
Kanapenda kuhamisha magoli kakiona kanashindwa hoja zake ni hafifu. Ukimwambia anakwambia mbona anani attack personally? [emoji23][emoji23][emoji23] Huwa nakaonea huruma sana kama ndivyo kalivyo hadi uraiani. Walahi mwanaume akae na kademu kama haka utashangaa tu siku anapelekea mbata za kutosha maana kakianza kuongea hakajuagi kukaa na mada.


Mfano wake ni kakukanyage ukaulize wewe mbona unanikanyaga utasikia kanajibu "enheeee na Putin anavyoishambulia Israel, Kongo wanavyopigana, unaguzi wa rangi pale South Africa, hayo yote yanakufurahisha ila sio ulipe kodi yako TRA si ndio?" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Halafu kenyewe kanajiona kamejenga hoja kabisa kumbe nyie mnajadili ugumu wa kanda la nazi yeye anajadili fenesi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dah.
 
So kwa maoni yako wanaume wakiamua kujenga mfumo wa kuishi nje ya ndoa kama wanaume wa magharibi wakaamua kuachana na kuona pride ya kuwa mume na baba bora wa familia wawe wahuni tu na wafocus kufanya biashara, pesa zao wanunulie magari na kujengea bachelor pads za kisasa na kuishi kwa kulala na makahaba ambao nao hawazai watoto wala nini ili wabakie kuwa na mvuto, hii jamii itaendelea kuwapo in the next 50 to 100 years kama watu watakuwa hivyo? [emoji848]

So ninachotaka kukwambia hapa ni kuwa unafikiria men do things for themselves while in reality its for the greater good of society. Wanaume ni viongozi so wanachosema sio kwa lengo la kukandamiza mwanamke bali ni kumpa direction ya kufuata. Mwanamke akifuata anachoambiwa wanaume wataanza wajibika.
 
Umenena vyema mkuu
 
Hivi katika dunia ya leo ambayo uchumi ni suala dynamic na nchi karibu zote zinaelekea kuwa developed unawezaje kujenga hoja ya uhitaji wa ndoa kwa wanawake kwa kuzingatia suala la uchumi, okay kwahiyo ikifika kipindi wanawake wengi wakiwa na uchumi mzuri na kuweza kujisimamia maana yake ndoa ndio basi tena kwa sababu kilichokuwa kinawafanya wahitaji ndoa wanaweza kukipata bila ndoa si ndio, yani mimi nilitegemea uhitaji wa ndoa liwe suala universal kwa wanawake wote duniani na lisichangiwe na external factor yoyote bali liwe ni internal motive ila badala yake limekuwa suala subjective yani linahitaji eti mpaka mwanamke awe na hali fulani ndio aihitaji ndoa vipi na kwenu je
Kwann usiseme mabinti wanazaa na wanaume irresponsible halafu wanalalamika. Why unataka ionekane mwanaume ni guilty mwanamke ni innocent? [emoji848]
Na hapo ndipo tatizo lilipo ambalo nahisi ninyi hamlioni au mnaliona ila hamtaki kuliongelea mnataka kulazimisha liwe uhalisia sasa kwanini mwanaume awe irresponsible tuanzie hapo kwanza, yani kwanini jamii isiweke mkazo na kwenye kulea watoto wa kiume wawe responsible (najua hapa utasingizia kwamba single mothers ndio wanaharibu watoto wa kiume ila hata hao single mothers wengi ni matokeo ya irresponsible fathers), wewe unanilisha tu maneno ila mimi msimamo wangu ni kwamba wote hapo wako guilty ila ninyi mnalazimisha ionekane kwamba siku zote mwanamke yuko guilty ila mwanaume yuko innocent just because of the consequences
Kama mna huo uwezo wa kuamua kujenga mfumo wa kuishi nje ya ndoa kwanini msiamue sasa hivi kwani mnavyoendelea kuoa mnafaidika na nini hasa wakati kila siku ndio kwanza malalamiko kwenye ndoa toka kwa wanaume yanazidi, yani mnataka kutuaminisha kwamba ninyi mna upendo wa agape mmeamua kusacrifice furaha na afya zenu kuwaoa hawa wanawake pamoja na maovu yao yote haya eti kwa vile mnajali na mnawaonea huruma, by the way wenzenu wanawake wameshaanza kujenga mfumo wa kuishi nje ya ndoa kwa sababu wameshaona wanaume waoaji wanazidi kupungua sijui kama mnasoma alama za nyakati na mmesha notice hilo au mna endelea kudwell in the past na kujifariji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…