Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Msata wapo vijana 3000,wanatakiwa vijana 2000 watimie 5000. Muda bado,simu zitaendelea kuita na awamu ya tatu kuita majina vikosini inakuja tena
 
Kwa uwez wa Mung wajichangany wabeb na ya kwang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…