Wa mtaani, wa makambini wote walikuwa rts, na leo hii wame somewa majina unfit wametolewa na tarehe 29/6 kozi inafunguliwa rasmi. Kama hujapigiwa simu jaribu wakati mwingine zikitoka.Niliskia wa mtaan bado wapo wa makambini tu nasubir mtu aliyepo huko anipe details za uhakik
Tts hamnaga uzalendo?Wa mtaani, wa makambini wote walikuwa rts, na leo hii wame somewa majina unfit wametolewa na tarehe 29/6 kozi inafunguliwa rasmi. Kama hujapigiwa simu jaribu wakati mwingine zikitoka.
Watu wamekaa pale mwezii sasa...uzalendo gan unaotaka tena ndo huoo mkisubiri kusomewa unfit ndo uzalendo wenyeweTts hamnaga uzalendo?
Kama hujaitwa usikate tamaa ....kuna maisha pia nje ya military ...kuna huyu mwamba Millitarydoctor alitutia moyo sijui wengine wataitwa. Ngoja tufanye mambo mngn tu sasa
Wapo katika hatua gan kwenye huo usailiKama hujaitwa usikate tamaa ....kuna maisha pia nje ya military ...
Jamaa kasema tarehe 29 kozi inaanza wa jibu hilo basi wameshamaliza hatua zote.Wapo katika hatua gan kwenye huo usaili
Fafanua kidogo mkuu.😅😅😅😅 pitieni zanzibar nyie mlambe ajira
Watupie taulo Koplo .Mnataka kuona kambini kupoje au mnataka kutishia watu na uniform zetu
Hivi nyie ni watanzania kweli..?
"Kuna watu watarudi kwenye majeneza "
Tunaweza kuwavunja vunja mkatoka hapa vilema na msifanye kitu
Kama unajua umekuja kuuza bado unanafasi ya kutoroka japo hutafanikwa
Haya kuliaaa mwisho uelekeo kwenye mabio 🤬🤬🤬🤬🤬🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kesho watu wanaanza zero week , jipange mwakanTupen update wakuu
HayaaKesho watu wanaanza zero week , jipange mwakan
Mbona haya mkuu😀😀😀Hayaa
Duh! Noma sana.Kesho watu wanaanza zero week , jipange mwakan
Tuseme ninii sasa😀Mbona haya mkuu😀😀😀
Anataka tulie , kumbe ni mwaka wa 6 huu zinapita shaaaTuseme ninii sasa😀