Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

Kweli wajinga mpo wengi.

Nitakusaidia kidogo hapa kwa kukupa mifano michache tu.

1. Unajua kuwa flyover ya Tazara imejengwa kwa MSAADA wa serikali ya Japan?

2. Unajua kuwa flyover ya Ubungo imejengwa kwa msaada/mkopo?

3. Unajua kuwa SGR inajengwa kwa msaada/mkopo?

Miradi hiyo yote hapo imejengwa kwa fedha za ndani + mikopo.

Nakusubiri ubishe hapa.
 
Wengi wamezoea kusafishwa ubongo 'brain washed' kuambiwa pesa zipoo!
Kweli kabisa mkuu. Watu wanajiondoa tu ufahamu sana. Hivi kutumia msafara kwenda kusikiliza kero kwani huko.mikoani na Wilayani si kuna wawakilishi wa Rais? Wao wafanye kazi gani kama na mkuu wa nchi anaenda huko? Tatizoj amaa alikuwa one manshow akitafuta cheap popularity. Wasahau kwa Rais wetu SSM maana anajua ana wawakilishi wateule na ni watendaji wake. Ataenda tu kwa lile jambo kubwa linalomhitaji Rais wa chi na alishasema hivyo kwenye speech yake. Tatizo watu wanademkademka tu bila kuchungulia reference.
 
Kweli wajinga mpo wengi.

Nitakusaidia kidogo hapa kwa kukupa mifano michache tu.

1. Unajua kuwa flyover ya Tazara imejengwa kwa MSAADA wa serikali ya Japan?

2. Unajua kuwa flyover ya Ubungo imejengwa kwa msaada/mkopo?

3. Unajua kuwa SGR inajengwa kwa msaada/mkopo?

Miradi hiyo yote hapo imejengwa kwa fedha za ndani + mikopo.

Nakusubiri ubishe hapa.
Mwambie Mkuu maana jamaa alitupumbaza kuwa eti hela za ndani. Hata Ile secondary ya Ihungo ni msaada ila mwendazake hakumpa hata Balozi wa nchi husika nafasi ya kuelezea mradi. Kila mahali Udikteta
 
Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,

ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,

kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi

tunakupenda sana

asante sana

mitano tena[emoji113]
Ziara kwani ziliwasaidia nini ziara zenyewe nyingi kanda ya ziwa kuna maeneo hajawahi tembelea,wewe unayeishi kwa dola moja ilikupa unafuu gani, bei sukari kg1 sh.3000,mafuta kula lita sh 6000 petroli nayo juu, Mama ziara zake ni za nje kuwekw sawa mahusiano ya kimataifa na kutafuta wakezaji hapa wapo RC,na DC watamwakilisha.
 
Kumbe wanyonge bado mpo tu mpaka kwenye awamu hii ya sita! Ni lini mtakubali kutoka kwenye huo unyonge wenu? Au huo unyonge kwenu ni mtaji?
Unyonge utakufa siku CCM itapozikwa pamoja Na walioianzisha
 
Kwani hayo mahindi yameruhusiwa, utaratibu bado ule ule wa vikwazo, ukitaka kuingiza mahindi Kenya lazima yapimwe pimwe kwanza, tuna Rais dhaifu na naive kupita wakati wote...
Kwani wenyewe hamwezi kuyala mpaka mkauze Kenya?
 
Kweli wajinga mpo wengi.

Nitakusaidia kidogo hapa kwa kukupa mifano michache tu.

1. Unajua kuwa flyover ya Tazara imejengwa kwa MSAADA wa serikali ya Japan?

2. Unajua kuwa flyover ya Ubungo imejengwa kwa msaada/mkopo?

3. Unajua kuwa SGR inajengwa kwa msaada/mkopo?

Miradi hiyo yote hapo imejengwa kwa fedha za ndani + mikopo.

Nakusubiri ubishe hapa.
Hayati alipokuwa anasema nchi yetu ni tajiri wengi walikuwa hawamuelewi. Alikuwa akiwapa moyo wananchi kwamba tunaweza kusimama peke yetu kwa utajiri tuliojaliwa na Mungu kama tukiwa na nidhamu ya kazi na kujitambua kwa mapana.

Hayati alifankiwa kuwajaza watu ile roho ya kiburi cha kwamba sisi ni watu pia na tunayo haki ya kuwa na maamuzi huru.

Lakini kuwapa watu ujasiri ni jambo moja na kufikia huko alipotamani tupafikie ni jambo tofauti kabisa.
 
Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,

ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,

kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi

tunakupenda sana

asante sana

mitano tena[emoji113]
Alisema akipita sehemu akaona pana kero viongozi wa eneo lile hawana ugali.Hivyo hizo kero pelekeni kwa viongozi wa maeneo husika
 
Hayati alipokuwa anasema nchi yetu ni tajiri wengi walikuwa hawamuelewi. Alikuwa akiwapa moyo wananchi kwamba tunaweza kusimama peke yetu kwa utajiri tuliojaliwa na Mungu kama tukiwa na nidhamu ya kazi na kujitambua kwa mapana.

Hayati alifankiwa kuwajaza watu ile roho ya kiburi cha kwamba sisi ni watu pia na tunayo haki ya kuwa na maamuzi huru.

Lakini kuwapa watu ujasiri ni jambo moja na kufikia huko alipotamani tupafikie ni jambo tofauti kabisa.
Nyosha maelezo mkuu...
Kwa maneno hayo Unakubaliana na mimi kuwa Hayati Alikuwa anaomba misaada?
 
Hakuna rais wa Tanzania ambaye amewahi kuongoza bila ya kuomba msaada. Nadhani kwa afrika nzima ni nchi chache sana zenye kuweza kujitosheleza kwa pesa ya ndani ya bajeti.
 
Kweli kabisa mkuu. Watu wanajiondoa tu ufahamu sana. Hivi kutumia msafara kwenda kusikiliza kero kwani huko.mikoani na Wilayani si kuna wawakilishi wa Rais? Wao wafanye kazi gani kama na mkuu wa nchi anaenda huko? Tatizoj amaa alikuwa one manshow akitafuta cheap popularity. Wasahau kwa Rais wetu SSM maana anajua ana wawakilishi wateule na ni watendaji wake. Ataenda tu kwa lile jambo kubwa linalomhitaji Rais wa chi na alishasema hivyo kwenye speech yake. Tatizo watu wanademkademka tu bila kuchungulia reference.
Wanadhani utendaji uliotukuka ni kuzunguka nchi nzima na kuongea mbele ya mikamera, haa nimemiss yale mabundiki mazimazito na walinzi mithiri ya kijiji hapa kunakitu naandika kwenye kitabu changu muda huu kwakimombo ngoja nikupe 'expecting result from what you know' or putting new wine into old bottles najadili baadhi ya sababu zinazo sababisha biashara kufa
 
Kwanini akasikilize kero?
Hayo wasaidizi wake wana fanya nini?
 
Hakuna rais wa Tanzania ambaye amewahi kuongoza bila ya kuomba msaada. Nadhani kwa afrika nzima ni nchi chache sana zenye kuweza kujitosheleza kwa pesa ya ndani ya bajeti.
Kwa hiyo unapingana na Legacy ya Hayati ya kututangazia hadharani ya kwamba sisi ni Donor Country!! Na hivyo kututaka tutembee vifua 'mbere' kama kuku walio nyonyolewa vile!!
 
Hayati alitaka tuondokane na unyonge wa kuitwa maskini wakati tunayo Tanzanite na utajiri mwingine kama maziwa, mito na ardhi nzuri.

Alitaka tujitambue haswa uzalendo kwa nchi pekee tuliyonayo.
 
Wanadhani utendaji uliotukuka ni kuzunguka nchi nzima na kuongea mbele ya mikamera, haa nimemiss yale mabundiki mazimazito na walinzi mithiri ya kijiji hapa kunakitu naandika kwenye kitabu changu muda huu kwakimombo ngoja nikupe 'expecting result from what you know' or putting new wine into old bottles najadili baadhi ya sababu zinazo sababisha biashara kufa
Great Mkuu. Move forward. Tuko huru hata kuandika. Mungu ni fundi
 
Ndugu , Key performance Indicator ni Rais kuzunguka nchi nzima na kusikiliza kero za wananchi?
Naomba uwe muelewa , usilete cheap politics katika awamu hii ya sita.
Wateule wapo kwa ajili ya nini?
Wananchi wanaishi kwa kero tu?
Hawana shida na maendeleo?

Zungumzia tunawezaje kuipaisha nchi kiuchumi, acha blaah blaah hapa.
 
Kweli wajinga mpo wengi.

Nitakusaidia kidogo hapa kwa kukupa mifano michache tu.

1. Unajua kuwa flyover ya Tazara imejengwa kwa MSAADA wa serikali ya Japan?

2. Unajua kuwa flyover ya Ubungo imejengwa kwa msaada/mkopo?

3. Unajua kuwa SGR inajengwa kwa msaada/mkopo?

Miradi hiyo yote hapo imejengwa kwa fedha za ndani + mikopo.

Nakusubiri ubishe hapa.

Magufuli
 
Kweli kabisa mkuu. Watu wanajiondoa tu ufahamu sana. Hivi kutumia msafara kwenda kusikiliza kero kwani huko.mikoani na Wilayani si kuna wawakilishi wa Rais? Wao wafanye kazi gani kama na mkuu wa nchi anaenda huko? Tatizoj amaa alikuwa one manshow akitafuta cheap popularity. Wasahau kwa Rais wetu SSM maana anajua ana wawakilishi wateule na ni watendaji wake. Ataenda tu kwa lile jambo kubwa linalomhitaji Rais wa chi na alishasema hivyo kwenye speech yake. Tatizo watu wanademkademka tu bila kuchungulia reference.

Kwa nini sasa wakati wa kupiga kura wanazunguka mikoa yote kuomba kura? C pia wangetuma hao wawakilishi wao wakawaombee kura, hvi una akili nzuri mbwa wewe??
 
Back
Top Bottom