Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

Tanzania tumepata loss kubwa this time ila tunaelewa Coz kiongozi tuliyempata imekua tu bahati mbaya hakua chaguo letu, tuvumilien tu 2025 si mbali
Kwa hiyo unataka Rais atoke ikulu akasikilize kero za soko kukosa vyoo?

Wewe level yako ya uelewa inaishia kule Celebrity forums tu.
 
Hakika dikteta alifanikiwa kutengeneza kundi kubwa la wajinga, and he loved it
Endeleeni kumpamba kwa nyimbo na vigeregere, na wakati wa kuomba kura akae huko huko ikulu akisubiri watendaji wake waende wakampigie kampeni.
 
Yupo za kimataifa kwanza, alafu atakuja za kitaifa...
 
Wewe na wenzako hata msimpopigia kura atashinda tu na yeye mwenyewe aliwahi kusema hivyo. Tume ya uchaguzi atakayoiteua yeye ndio itaamua nani mshindi.
Acha basi kudanganya wenzio
 
Una poor argument skills.
Mwenyewe unawezaje kujua kama una good argument skills? Who is the judge? And what are the arguments points! Mine was merely a question, so do not argue with a question, either you answer or do not.
 
Ila mama anasafiri sana,tangu aanze urais hajatulia kabisa sijui muda wa kufanya maamuzi sahihi anaupata sangapi,muda wa kufikiria changamoto za wananchi na namna za kuzitatua,hata muda wa Ibada na Mwenyezi Mungu anaupata kweli,kila leo safari,events....na ndo ameanza tu majukumu
currently amesafiri mara 3 tu kwenda nje. tena nchi jirani. safari za ndani ya nchi si nyingi.
tyr unadai kasafiri mara nyingi. sijui hajatulia... ?
urais ni taasis. kuna team inamsaidia kufanya maamuzi. yeye anapelekewa mapendekezo.

ana makam wa rais, waziri mkuu, mawazir, makatib wakuu, wakuu wa mikoa.. wilaya

hao wanafanya nn mpaka kila litu afanye yy?
 
Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,

ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,

kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi

tunakupenda sana

asante sana

mitano tena[emoji113]
Mama ruti zake ni za Dar-Dom-Dar kwa ndege, kero za Wananchi atazisikilizia wapi?
 
Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,

ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,

kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi

tunakupenda sana

asante sana

mitano tena✋
Unauliza mavumbi stoo
 
Anaunda serikali, kuzurula hakusaidii wasaidizi wake amewapa miezi 6 kishughulikia kero za wananchi.wakizingua ?................
 
Hivi yule mtu aliyesafiri milele hakuzimaliza kero? Maana alijibatiza wa Wanyonge. Kuna Mnyonge aliyesalia? My reference points are in CAG report 2019/2020.
 
Wengi wamezoea kusafishwa ubongo 'brain washed' kuambiwa pesa zipoo!
 
Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,

ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,

kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi

tunakupenda sana

asante sana

mitano tena✋
Si kazi ya Rais kuzurura vijijini kote kusikikiza kero za wananchi - Kinachotakiwa ni kuimarisha mfumo wa uongozi toka ngazi ya Mtaa hadi taifa... Kwa mfano mtu mmoja kapora ardhi ya mwenzake kule wilayani - hii si kazi ya Rais kutatua - unless kama anataka kugeuka kuwa msaka kiki.
 
Kwa hiyo unataka Rais atoke ikulu akasikilize kero za soko kukosa vyoo?

Wewe level yako ya uelewa inaishia kule Celebrity forums tu.

Nchi hii aliweeza magu tu , nyie miez miwili tu mshaanza kuzurula kutafuta msaada nchi za watu mxieww mnadhan uraisi ni makalio kila mtu anayo
 
Endeleeni kumpamba kwa nyimbo na vigeregere, na wakati wa kuomba kura akae huko huko ikulu akisubiri watendaji wake waende wakampigie kampeni.

Pinned, Tupo hapa , tutaufufua huu uzi halafu tuone mbwa hawa; ikifika uchaguzi hadi madela wanavaa wanaenda hadi kula kwa mama ntilie na viduku wanacheza mbwa hawa, Sasa hvi wanajifanya hawataki kusikia kero za wanachi
 
Si kazi ya Rais kuzurura vijijini kote kusikikiza kero za wananchi - Kinachotakiwa ni kuimarisha mfumo wa uongozi toka ngazi ya Mtaa hadi taifa... Kwa mfano mtu mmoja kapora ardhi ya mwenzake kule wilayani - hii si kazi ya Rais kutatua - unless kama anataka kugeuka kuwa msaka kiki.

Sasa hiv tunajua sio kazi yao Ndio si wapo madarakan , uchaguz ukifika ndo itakua kazi yao sasa kutafuta wananchi had mapangon na kuwachezea viduku wawapigie kura, ***** zao wataioata fresh mbwa hawa
 
Nchi hii aliweeza magu tu , nyie miez miwili tu mshaanza kuzurula kutafuta msaada nchi za watu mxieww mnadhan uraisi ni makalio kila mtu anayo
Ndio maana nikasema wewe level yako ni kule Celebrity forums.tu.

Hebu nitajie Rais MMOJA TU wa Tanzania ambaye hajawahi kutafuta hiyo unayoiita misaada!

MTAJE HAPA.
 
Back
Top Bottom