Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au wakatafuta nchi yao,hii sio nchi ya wanyonge
Au wakatafuta nchi yao,hii sio nchi ya wanyonge
Kero za wananchi maDC na maRC wanakazi gan??? Usituletee ushamba wa magufuli hapa aliyekua anateua vilaza anaowajua ili wamtumikie yeye badala ya kutumikia wananchi afu anazunguka yeye kukusanya kero
Ila wakati wa kuomba kura wanatembea hadi kata zote na viduku wanacheza, Siku yao ipo tu, Kwan uchaguz mbali bhas, tutakutana, Akili zenu huwa zinawaza mavi tu mbwa nyie
Sasa walimuweka raisi ndo afanye kazi gan aoshe makalio ya wazazi wako au? C uwaambie hii nchi iwe inaongozwa na hao ma Dc na Rc mbwa nyie, ikifika wakati wa uchaguz hawalali wanaenda had kwenye mapango kuomba kura mxieew , safari hii mtakomba mbuzi nyie , mtapigiwa kura na bibi zenyu
Hizo zilikuwa tabia za jiwe
Mngekua sio wanyonge msingekua mnaenda kutembeza mabakuli ya msaada nchi za watu mbwa nyie, mnanuka umaskini kutwa kujipendekeza kwa watu , Tabia za kichokoraa sana mnaendekeza wakati magufuli alitutoa huko
Na huyo Mama yenu si walikua wanaongozana kama mijusi, tutaona Mwaka huu, hizo kura wakaombee bungeni huko huko, waache wawe busy na ndege zao, c watazikwa nazo , Tupo hapa
Wewe dume lako limeshakwenda zake Chato....uwe na adabu. Usimpangie rais kazi...kapangie babu na bibi zako.Sasa walimuweka raisi ndo afanye kazi gan aoshe makalio ya wazazi wako au? C uwaambie hii nchi iwe inaongozwa na hao ma Dc na Rc mbwa nyie, ikifika wakati wa uchaguz hawalali wanaenda had kwenye mapango kuomba kura mxieew , safari hii mtakomba mbuzi nyie , mtapigiwa kura na bibi zenyu
Jiwe ametembeza bakuli kipindi chake chote cha miaka mitano na deni la taifa limepaa huku nyie vilaza mkiaminishwa ni pesa za ndani.
Wewe dume lako limeshakwenda zake Chato....uwe na adabu. Usimpangie rais kazi...kapangie babu na bibi zako.
Wanmchi milioni 50+ akisikiliza kila mtu atatumia miaka mingapiJapokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena[emoji113]
@Mods piga ban huyu mtukanaji
Unyonge wenu pelekeni majumbani kwenu hukoWanyonge tena omba omba mbwa nyie
Hawezi kutembea vijiji vyote kweli. Lakin anaweza kutembea maeneo ya kutosha kuwakilisha maeneo mengine. Rais yeyote bora lazima ajue watu wake na uhalisia wa maisha yao