Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

Wacha tusubirie wajuvi waje namie nipatepo mwongozo kipenzi nina kipilipili pro max

Cc Smart911
 
Watu wanashawishi vibaya kweli yaani,. Waliniambia eti nitie dawa niset siku ya shughuli ya mtu . Shughuli imepita na nywele zangu pia zimepita😃😅😅
Ilikuwa 2018 nikanyoa na kuanza kusuka mwaka huohuo,
Nimekuja kunyoa mwezi huu,napumzika kusuka,


Namshukuru Mungu kwenye nywele kanijaalia,siteseki nazo kwenye ukuaji.
 
Tumia zoa zoa avocado yatakusaidia sana yaani sana mke wangu ndio anatumia hayoo yalimsaidia sana
 
Njoo nkuuzie mafuta ya brown castor oil yenye vitamin's ndani ya mwezi usipopata matokeo unarudishiwa hela yako tunauza kwa 17k tu
0659756647 calls/whatsapp
 

Attachments

  • IMG-20250517-WA0204.jpg
    58.7 KB · Views: 15
  • IMG-20250517-WA0203.jpg
    55.2 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…