kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Ndugu wa Sabaya pamoja na marafiki zake na watu wa chama wanajiwekea utaratibu wa kumhudumia mtuhumiwa aliyeko mahabusu kinyume kabisa na taratibu na tunaamini Kuna usawa? Aliyeruhusu mpishano wa misosi kutoka mtaani kwenda Kisongo ni nani?
Aliyeruhusu Sabaya asifungwe pingu toka gerezani hadi mahakamani ni Nani? Kwa Nini amekuwa akipewa treatment tofauti na wenzake? Wanahoji wananchi wanaopewa story za Sabaya na ndugu zake hapa Mahakama ya Arusha.
Minong'ono hii inanikumbusha wakati ule matajiri flani walipokamatwa na simu gereza moja huko DSM. Je, tumerejesha ubaguzi wa kiuchumi na kisiasa gerezani?