Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?


Hyo namba 2 itakutoa roho mkuu,unakimbiliaga nn?
 
Ndoa inapoisha unaanza kuwaza madeni kulipa😂hili linanifanya kichwa kufikiri kwa weredi zaidi
Watu wamekula mpunga mzigo umeachiwa alafu mara waaah unashtuka umeoa namba 10 wewe namba 2 unabaki inaangalia tu mana hawa ukiwa bado hujamuoa wanaficha tabia zao ukioa ndio unamuona yeye halisi🤣

Picha linaanza usipoenda sokoni hupikiwi😂
 
vocha mwanangu kuperuzi internet😋
 
Kwakwer Mungu atuepushe katika hili kanga sitegemei kukutana na hii kitu😂
 
Kaka yangu mzee wa mambio[emoji23]


Mimi huwa najisikia amani na furaha ninapoona mtu mwenye hitaji amesaidika na amefurahi kupitia Mimi.


Kumpa pesa mama yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…