Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

Hallo Wakuu, Baridaaa !

Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa ( money ) yako.. nafsi yako ( roho yako ) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?

Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia ( napenda sana mbizo na kukimbia )

haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana

Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4

Hyo namba 2 itakutoa roho mkuu,unakimbiliaga nn?
 
Ndoa inapoisha unaanza kuwaza madeni kulipa😂hili linanifanya kichwa kufikiri kwa weredi zaidi
Watu wamekula mpunga mzigo umeachiwa alafu mara waaah unashtuka umeoa namba 10 wewe namba 2 unabaki inaangalia tu mana hawa ukiwa bado hujamuoa wanaficha tabia zao ukioa ndio unamuona yeye halisi🤣

Picha linaanza usipoenda sokoni hupikiwi😂
 
Hallo Wakuu, Baridaaa !

Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa ( money ) yako.. nafsi yako ( roho yako ) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?

Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia ( napenda sana mbizo na kukimbia )

haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana

Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4
vocha mwanangu kuperuzi internet😋
 
Watu wamekula mpunga mzigo umeachiwa alafu mara waaah unashtuka umeoa namba 10 wewe namba 2 unabaki inaangalia tu mana hawa ukiwa bado hujamuoa wanaficha tabia zao ukioa ndio unamuona yeye halisi🤣

Picha linaanza usipoenda sokoni hupikiwi😂
Kwakwer Mungu atuepushe katika hili kanga sitegemei kukutana na hii kitu😂
 
Hallo Wakuu, Baridaaa !

Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa ( money ) yako.. nafsi yako ( roho yako ) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?

Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia ( napenda sana mbizo na kukimbia )

haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana

Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4
Kaka yangu mzee wa mambio[emoji23]

Mimi huwa najisikia amani na furaha ninapoona mtu mwenye hitaji amesaidika na amefurahi kupitia Mimi.

Kumpa pesa mama yangu.
 
Back
Top Bottom