Kuchangia ujenzi wa Kanisa na Msikiti natoaga 10,000 kwenye vile vidaftari bila ya kunadika jina.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] utabarkiwa….ila hukua na haja ya kuleta kias hapa kukwaan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchangia ujenzi wa Kanisa na Msikiti natoaga 10,000 kwenye vile vidaftari bila ya kunadika jina.
Jambo jema sanaMi bana napenda kuwapa zawadi Hawa watoto kuanzia darasa la 4 kwenda chini Hadi la kwanza Huwa napata Amani make Huwa naona kabisa Shukraan yao inatoka moyoni kabisa.
Hallo Wakuu, Baridaaa !
Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa ( money ) yako.. nafsi yako ( roho yako ) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?
Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia ( napenda sana mbizo na kukimbia )
haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana
Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4
Watu wamekula mpunga mzigo umeachiwa alafu mara waaah unashtuka umeoa namba 10 wewe namba 2 unabaki inaangalia tu mana hawa ukiwa bado hujamuoa wanaficha tabia zao ukioa ndio unamuona yeye halisi🤣Ndoa inapoisha unaanza kuwaza madeni kulipa😂hili linanifanya kichwa kufikiri kwa weredi zaidi
vocha mwanangu kuperuzi internet😋Hallo Wakuu, Baridaaa !
Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa ( money ) yako.. nafsi yako ( roho yako ) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?
Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia ( napenda sana mbizo na kukimbia )
haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana
Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4
Kwakwer Mungu atuepushe katika hili kanga sitegemei kukutana na hii kitu😂Watu wamekula mpunga mzigo umeachiwa alafu mara waaah unashtuka umeoa namba 10 wewe namba 2 unabaki inaangalia tu mana hawa ukiwa bado hujamuoa wanaficha tabia zao ukioa ndio unamuona yeye halisi🤣
Picha linaanza usipoenda sokoni hupikiwi😂
Shem kama shem nzuri hiyoNapenda kusaidia wajane na yatima. Nakua na amani sana moyoni mwangu na pesa yangu hainiumi hata kidogo.
Shem kama shem nzuri hiyo
vocha mwanangu kuperuzi internet[emoji39]
Kaka yangu mzee wa mambio[emoji23]Hallo Wakuu, Baridaaa !
Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa ( money ) yako.. nafsi yako ( roho yako ) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?
Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia ( napenda sana mbizo na kukimbia )
haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana
Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4
nina sonona konki, siwezi kua serious humu napooza moyo😅Mxiewwwww hujawahi kuwa serious sijui kwann [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🙏Shem[emoji4][emoji4][emoji4]
nina sonona konki, siwezi kua serious humu napooza moyo[emoji28]
Kutoa si utajiriLazima uwe tajiri mzee
mambo mengi rafki yangu, siwezi kufunguka😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole, sonona ya nini tena mdogo angu?
Sawa mkuu nakusomaKutoa si utajiri
Mpe SoMo aelewe zaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole, sonona ya nini tena mdogo angu?
uko wapi mkuu.. nipo hapa karibu na citynina sonona konki, siwezi kua serious humu napooza moyo😅