Ni mara ya 6 tunashuhudia utiaji saini bomba la mafuta Hoima - Tanga

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haya mambo yana matatizo sana. Kugombania rasilimali za dunia ndiyo habari ya mjini.
Someone might get killed ukiwa,kama ,kwa mfano, utafanya deal ya dhahabu na mtu wa Norway
Only the three super powers matter.
 
Unadhani wahusika (watoaji habari) wamekusudia ama na wao hawaelewi pia?
 
Pasco pole kwa kifo Cha meendazake
 
Yote haya hata sisi tunayajua ila bado kuna viashiria kuwa mambo hayako sawa na huenda kuna maeneo hawakubaliani au wanakwama na ndio maana tunashuhudia haya yote kila siku.
 
Unadhani wahusika (watoaji habari) wamekusudia ama na wao hawaelewi pia?
Jukuma la utoaji habari kwa the locals, Tanzania na Uganda, limeachiwa kwa host countries, ambazo nchi zote mbili, Tanzania na Uganda, hazina Aa, Be wala Che!. Ni kama kwenye majadiliano na Barrick, majadiliano yanafanyikia Ikulu yetu, habari zinaibukia London!.
P
 
Hilo bomba kama laisi magufuly ngekuwa ahi lingeshakamilika
 
Tunategemea misaada kutoka kwa wahisani ndio maana tunasuasua, yaani sisi sijui tukoje, tuko tayari tutumie mabilion ku finance maisha classic ya walaji wa kodi za wananchi lakini mambo yenye tija yanasubiri tupewe misaada na wazungu
 
😁😁😁 wanasaini tu, mimi pia sielewi.
Kwenye Project kubwa za kimataifa kuna mikataba mingi ya kukubaliana kwa mfano:-
-Ya ki mazingira
-Ya fidia kwa Mali za watu
-Ya ki georogia
-Ya ki Uchumi (pande zote /wadau)
-Ya Kukubaliana na yaliyopo hapo juu.
-Ya Ushauri na Ujenzi
N. K
 
Labda wanaogopa wakiiweka bayana wapinzani watapata topic ya ku-trendia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…