Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Muwezeshe na huyu jamaa mleta wazo. Utabarikiwa sana mkuu.Kwa wazo hili, nalichukua na ninaenda kujadili na binti yangu ili nione kama anaweza akafanya lolote ili nimuwezeshe
Vitu ni vikavu, alaf unavikausha tena?Mashine ya kukaushia vitu vikavu
[emoji23][emoji23]Mashine ya kutengeneza pesa
Hii itakulipaje mzeeSexy dolls nikipata hii kitu mambo safi
Mkuu biashara ya sex dolly itamlipaje tupeane uzoefuBro this is crazy! But 100% will pay you back!
SahihiSio mahoteli tu, dar ina uhaba wa laundries, watu wengi wana mapazia mashuka na nguo chafu wanaweka ndani wiki na ma wiki yanapita bila kufua, ukiwa na laundry business biashara ipo, ila tu uweke bei rafiki za kitanzania sio unaweka bei za oysterbay
How????Nikipata hii mashine... nishatoboaView attachment 2302656
Kama upo serious inaweza kukufikiaNamna ya kuzi import ndo shughuli ni kama ilivyo poda
Nenda Voda shop iliyoko jirani ukiwa ,na kitamburisho , TIN na lesini ya biashara .
Line utatengeneza Bure naludia Haina malipo.
Kwa makampuni mengine sijui Wana utaratibu gani.
Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti.
#MaendeleoHayanaChama
Bei zipo juuYeah hii mashine ni nzur sana hasa tuliopo ndimbo tunaina wahindi wanafaidika nazo sana
Ulifanilisha kupata hii kitu?Mashine ya kuprint logo, pictures na words kwenye nguo, kofia, maboksi and mifuko.
Nitakucheki nione kama bado ipo au unielekeze namna ya kyipataAnayehitaji mashine ya kutengenezea soft ice cream, 2,100,000 tuu, niliinununua sikuitumia, anayehitaji aniDM