Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
Mashine ya Kusaga Juice ya Miwa Kwa mwenye nayo used basi ajilete hapa tuongee bei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamtishia huyo mwenzake.... Ili asite kiagiza mashine🤣😆🤣Million 5 haiwezi kufika, labda 3
Hapana sikuipata.Ulifanilisha kupata hii kitu?
Ni Kwa kuwa hujui na hutaki kujifunza. Luna machine za kukausha Mazao kama tangawizi, iriki, kahawa, mpunga nk, KAZI yako inakuwa kuwakaushia watu wakati ambapo jua halipatikani full day na wanakulipa.wala haichekeshi hii...poleeeee
Hii habari inakera mno.Bongo miyeyusho, kuna mashine za kulimia, kule inauzwa haizidi milioni 2, ila mpaka kuifikisha hapa bongoland inagonga milioni 10 huko.
Nchi tumeikabidhi kwa MAADUI wa nchi yetu, wabinafsi kweli kweli, yasiyokuwa ya maendeleo wataleta, yenye tija wanayakalia.Hii habari inakera mno.
Nchi walio wengi ni wakulima. Hizi powertiller zilifanyiwa ujanja bei ikapaa.
Niliwahi uliza wataalam kwanini. Nikaambiwa hata ukitaka kuagiza moja binafsi huko Japan hupati.
Maana kuna watu walisha jipanga eti kwa TZ mwagizaji ana julikana.
Ukweli ni upi?
Hata sijasikia kuna mitumba ya trekta au powertiller, lakini kuna magari mitumba!
La pili, hapa TZ hatuna teknolojia ya mashine za kilimo. Kwamba vitu kama powertiller ni rocket science? Hatuwezi unda zetu?
Vyuo vya ufundi, mainjinia kwanini wasipewe changamoto kubuni vitu kama hivyo? Nini kikwazo?
Majembe ya mkono hadi ifike miaka 200 ya uhuru au zaidi, kweli?
Siamini, naona kama wote tuna matatizo ya maono au kitu kama hicho.
Wewe wa mashine ya kutengeneza bahasha nakupa namba ya simu ya mbunifu anayezitengeneza atakutengenezea kwa gharama isiyozidi 2miln +255 788 855 724Kila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara.
Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere.
Kwa wajasiriamali wengi huwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani basi itakufungulia milango na kukusogeza sehemu kuzifikia ndogo zako.
Mimi moja ya mashine nayotamani kuimiliki ni ya kutengeneza bahasha au vifungashio vya karatasi.
Naamini soko lake sio la kutafuta na ukishaipata mashine production yake haiitaji nguvu kazi kubwa.
Mimi nikiipata hii mashine wateja wangu watakuwa corporate nitakuwa natengeneza bahasha za barua size kubwa mpaka ndogo kabisa na nikipata tenda nitakuwa naweka na logo ya kampuni husika.
Wateja wengine ni wafanyabiashara wadogo kwa ajili ya vifungashio.
Sijajua bongo kama zinatengenezwa ila nimeshahangaika sijazipata ila ukiangiza China zinaanzia bei mil 1.5 kwa ambazo sio express wala auto.
Tutajie mashine yako unayoitamani...
View attachment 2237802
Huwa nikitembelea alibaba na kuona bei ya ile mitambo...najiona mzembe sana lakini changamoto usafirirshaji tu.
Je mkuu ushapata hyo mashineMillion 5 haiwezi kufika, labda 3
bei gani hii kama unajua nitonye
M nataka hii Sokara Cooker sijuw nitapata wapiView attachment 2241279
Hii ya kubangua karanga na njugu imekaaje wadau?Mashine ya kubangua karanga na njugu.
Hii ya bahasha inatumia malighafi gani?Wewe wa mashine ya kutengeneza bahasha nakupa namba ya simu ya mbunifu anayezitengeneza atakutengenezea kwa gharama isiyozidi 2miln +255 788 855 724
Unataka ya mita ngapi? Njoo PM tufanye biashara zipo hapa Tanzania tayari.Machine ya kuprint banner [emoji91][emoji39]