Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Mashine ya Kusaga Juice ya Miwa Kwa mwenye nayo used basi ajilete hapa tuongee bei
 
wala haichekeshi hii...poleeeee
Ni Kwa kuwa hujui na hutaki kujifunza. Luna machine za kukausha Mazao kama tangawizi, iriki, kahawa, mpunga nk, KAZI yako inakuwa kuwakaushia watu wakati ambapo jua halipatikani full day na wanakulipa.
 
Bongo miyeyusho, kuna mashine za kulimia, kule inauzwa haizidi milioni 2, ila mpaka kuifikisha hapa bongoland inagonga milioni 10 huko.
Hii habari inakera mno.

Nchi walio wengi ni wakulima. Hizi powertiller zilifanyiwa ujanja bei ikapaa.

Niliwahi uliza wataalam kwanini. Nikaambiwa hata ukitaka kuagiza moja binafsi huko Japan hupati.

Maana kuna watu walisha jipanga eti kwa TZ mwagizaji ana julikana.

Ukweli ni upi?

Hata sijasikia kuna mitumba ya trekta au powertiller, lakini kuna magari mitumba!

La pili, hapa TZ hatuna teknolojia ya mashine za kilimo. Kwamba vitu kama powertiller ni rocket science? Hatuwezi unda zetu?

Vyuo vya ufundi, mainjinia kwanini wasipewe changamoto kubuni vitu kama hivyo? Nini kikwazo?

Majembe ya mkono hadi ifike miaka 200 ya uhuru au zaidi, kweli?

Siamini, naona kama wote tuna matatizo ya maono au kitu kama hicho.
 
Nchi tumeikabidhi kwa MAADUI wa nchi yetu, wabinafsi kweli kweli, yasiyokuwa ya maendeleo wataleta, yenye tija wanayakalia.
 
Kila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara.

Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere.

Kwa wajasiriamali wengi huwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani basi itakufungulia milango na kukusogeza sehemu kuzifikia ndogo zako.

Mimi moja ya mashine nayotamani kuimiliki ni ya kutengeneza bahasha au vifungashio vya karatasi.

Naamini soko lake sio la kutafuta na ukishaipata mashine production yake haiitaji nguvu kazi kubwa.

Mimi nikiipata hii mashine wateja wangu watakuwa corporate nitakuwa natengeneza bahasha za barua size kubwa mpaka ndogo kabisa na nikipata tenda nitakuwa naweka na logo ya kampuni husika.

Wateja wengine ni wafanyabiashara wadogo kwa ajili ya vifungashio.

Sijajua bongo kama zinatengenezwa ila nimeshahangaika sijazipata ila ukiangiza China zinaanzia bei mil 1.5 kwa ambazo sio express wala auto.

Tutajie mashine yako unayoitamani...

View attachment 2237802
Wewe wa mashine ya kutengeneza bahasha nakupa namba ya simu ya mbunifu anayezitengeneza atakutengenezea kwa gharama isiyozidi 2miln +255 788 855 724
 
Wewe wa mashine ya kutengeneza bahasha nakupa namba ya simu ya mbunifu anayezitengeneza atakutengenezea kwa gharama isiyozidi 2miln +255 788 855 724
Hii ya bahasha inatumia malighafi gani?
Kutoka wapi
Bahasha za stationary au za vifungashio vya samaki?
Inazalisha bahasha ngapi kwa siku?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom