Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ukifumba macho unaona nini? Kipofu yeye huona nini?
Iyo dim unayoniona ukifumba macho unaiona voz macho yako ni mazima kama ni mabovu kama kipofu ukifumba ni giza tu.bioofu wengi wanaona dim kukuwa mchana tu wakiwa wameacha kope zao
 
Nini kinacholipa jua nguvu ya kuwaka bila kuchoka tena consistently kwa miaka mingi sana?
 
Tunakula ili tuishi au tunaishi ili tule...!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…