Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

...
3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
Mwa 5:1-5;

1 Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;
2 mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.
3 Adamu akaishi miaka mia na thelathini, akazaa mwana kwa sura yake, kwa mfano wake, akamwita jina lake Sethi.

4 Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, akazaa wana, waume na wake.
5 Siku zote za Adamu alizoishi ni miaka mia kenda na thelathini, naye akafa.
 
Hili ndio swali gumu zaidi duniani
Chimbuko la watu wote duniani ji Eden, je Eden ilikua wapi? Eden ilikua inaanzia Tz, Kenya na kupandisha mpaka Ethiopia, Kush nk nakuachia swali nchibya kush ni ipi? Ikaenda mpaka Asia huko India, yote ilikua Eden. Kumbuka dunia ilikua moja tu iliyoitwa Pangea kabla mabara hayatengana kwa Plate Tekitoniki movement. Sasa watu walitoka Afrika Mashariki wakaenda kusini mwa Sahara wengine Magharibi na Kaskazi, walienda Kaskazini walivuka pale Suze Canal kabla hapajachimbwa wakaenda Asia huko wakanasa milimani kwa miaka zaidi ya elf 9, wakazaliana huko lkn wakawa wanalose Melanin taratibu taratibu za Uafrika wakawa wazungu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
1.ROHO NINI NA INAKAA SEHEMU GANI YA MWILI
2.UTAKUFA LINI NA SAA NGAPI ?
3.MVUA ITAANZA KUNYESHA SAA NGAPI NA ITAISHA SAA NGAPI( KWA UFASAHA)
4.UTAJIFUNGUA SAA NGAPI
5.AKILI NI NINI NA INA UMBO GANI?
 
Hivi ingekuaje kama wakati wa kujamiiana lile bao lingekuwa linatoa sauti kama ya mlio wa bunduki?!! Tungetembelea wakwe zetu kweli?!! Kwa jinsi watu wanavyongonoka kwa fujo kipindi hiki, miji ingekalika kwa kweli?!
 
Ni nani aliyetoa darasa la utamu? Na kuonyesha vikojoleo inabidi vigusane na kimoja kinammeza mwenzie? 😂😂😂
1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.

2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?

3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
 
Hivi ingekuaje kama wakati wa kujamiiana lile bao lingekuwa linatoa sauti kama ya mlio wa bunduki?!! Tungetembelea wakwe zetu kweli?!! Kwa jinsi watu wanavyongonoka kwa fujo kipindi hiki, miji ingekalika kwa kweli?!
We jamaa
 
Back
Top Bottom