the thread is not absurd,YOU ARE...
Hili sikatai,inawezekana
Lakini hebu niambie ni kivipi?
Ukishindwa wewendio utakuwa absurd
And kuna haja urudi shule ujifunze even simple terms...
Simple ni kitu gani?
Kwanini ni simple? [sidhani kama unaweza kujibu hii]
Mtu anakuuliza kitu straight unakirefusha na maswali weee...
Ngoja nikuambie kitu
Unapokuwa unajadiliana au ku debate jambo na mtu au watu kuwa makini sana na maneno ambayo unakuwa unayatumia na uyatumie mahali stahiki na kwasababu inayoshikika,hii tabia ya kukurupuka na kutumia tu maneno halafu ukiulizwa sababu ya kuyatumia na maana yake hujui utaonekana kituko
Hapo umeniambia kuwa unaniuliza "kitu" "stright" sijui hata kama unajua matumizi sahihi ya hayo maneno na kama ungekuwa unajua wala usingeyasema hapo
Unatia huruma sana
When people are debating they don't end up asking questions all the time,they answer what the other side asked,sijui unasimamia upande upi...
Ngoja nikusaidie jambo maana inaonekana una kichwa kigumu sana
Wewe umeuliza mahali alipotokea Mungu,hili swali lako peke yake linatosha kuonesha kuwa wewe hujui kabisa Mungu ni kitu gani kwasababu kama mungejua wala usingeuliza hili swali
Nasema usingeuliza kwasababu ukijua Mungu ni nini na uwezo wake tayari unakuwa umeshapata jibu kuwa HAKUNA alipotokea,najua kuwa kuna maswali yanaweza kuja kutokana na jibu hilo la kuwa HAKUNA alipotokea ili kuweza kuepusha maswali mengi hapo ndipo umuhimu wa kujua Mungu ni nini unapokuja
Kitendo cha kujua Mungu ni nini kinakuwa kimejibu maswali yote
Usikwepeshe mada,hizi sio hisia tu,
Sio kila mahali nilipokujibu nilijibu kutokana na kilichosemwa kwenye mada bali nilikuwa nakujibu kutokana na kile ulichokuwa unaandika na ndio maana kuna quote
Au hata maana ya quote hujui?
KUNA MASWALI HAYAJIBIKI DUNIANI,
Nilishakuonesha upuu.zi ulioko kwenye hii kauli yako huko juu na ndio maana nikasema hii thread ni absurd kwakuwa inafanana na na hii kauli yako
Nilikuambia kuwa unawezaje kujua swali fulani halijibiki?
Hata kama likiwa "halijibiki" leo bado haina maana kuwa "halijibiki",unaelewa?
Lakini pia hata kama niki assume kuwa sentensi yako iko kweli,yaani inasema kweli,hivi nani mjing.a,yule anaeuliza swali ambalo YEYE anajua kabisa halijibiki au yule ambae ameshindwa kujibu swali "lisilojibika"?
esp yanayomuhusu Mungu,magenius washatutangulia wakavumbua yao,leta something new acha porojo
Inaonekana unachanganya mambo
Tofautisha kukosa majibu na kushindwa kujibika,hayo ni mambo mawili tofauti kabisa
Miaka ya 70 kulikuwa na magonjwa ya zinaa yaliyokuwa hayana dawa wakati ule,je ni sahihi kusema kuwa magonjwa yale yalikuwa "hayatibiki" au hayakuwa yamepatiwa dawa nyakati zile?
Nilikuambia kuwa jaribu kuwa makini na mamneno unayotumia,kutokujibika na kukosekana majibu kwa wakati huu hayo ni mambo mawili tofauti[japokuwa sijaona swali linalomhusu Mungu lililokosa majibu kwa wakati huu]
Hebu changamsha ubongo wako vizuri binti!