Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

Wewe constipation imewahi kunidhalilisha mimi kwa watu, sina hamu. Yaani nilihisi kuwehuka
Kwa mara ya kwanza nimeenda US kwa mwenyeji wangu, kwanza picha linaanza wiki nzima sipati choo , halafu tunakula vyakula vikavu tu , changanya na uoga wa mazingira wiki iliyofuati chooni sasaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…
 
Kwa mara ya kwanza nimeenda US kwa mwenyeji wangu, kwanza picha linaanza wiki nzima sipati choo , halafu tunakula vyakula vikavu tu , changanya na uoga wa mazingira wiki iliyofuati chooni sasaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…
Na inapenda kutudhalilisha ugenini. Yaani hapo hata kukaa, inabidi ukalie kiuno na mgongo
 
Constipation ni msala ,unaweza jikaza weeee na maumivu ya hatari ila unashangaa ni vitu tu vimekaa kimtindo kama vya mbuziπŸ€”
Acha tu; yaani kuna siku nimeshinda chooni siku nzima. Nilitamani waniwekee tu na kitanda humohumo japo kulikuwa hakukaliki wala kulalika
 

Poleee aunt, hukwenda kwa mtaalamu?
Huwa linatulia halisikiag dawa πŸ˜‚πŸ˜‚
Rafikiyangu alishtuka akaenda kakazangu jirani wakaja mbiombio wakanikuta n
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleee aunt, hukwenda kwa mtaalamu?
Halisikii dawa na linaumaga mara mbili au 3 Kwa mwak sio Kila mwez ila ndo likikushika ni kutambaa kwanza πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna lile chango wanapita linaumaga hata usipokuwa Mp Yani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nilikuwa natambaa tu πŸ˜‚πŸ˜‚ na kulala nimebinua Tako juuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ majirani walicheka badae nilivopona
zaa hiyo hali ikuishe kama huna mchumba mimi nipo nina mbegu nzuri sana utapenda toto litakalotoka smart and πŸ€“
 
kumbe mimi nilieng'atwa dudu nina afadhari!!!..☹️
 
Kama umeenda Ocean Road Cancer Institute kumuangalia mgonjwa kuna wale waliofikia stage ya mwisho wanapigwa morphine tu kuwapunguzia maumivu, inasikitisha sana.
 
Kuna siku nataka kusafiri kesho yake.. jicho from no where jamani likaanza kuuma..wee liliniumaaa jamanii liliumaaa nikaanza kulia ndo sasa nikahisi linaanguka..mpk saa 10 alfajiri nilishakata tamaa sisafiri tena moyo unaumaa..nilishaomba mpk basi...hatimae likapoa ila sijui ilikua ni nini mpk leo sijawahi pata ile hali

Tumbo nalo uwiiii kuna siku niliamka saa nne tumbo kama utani..likaanza jamani lile tumboo...sijui ni nini nilikua nasikia moyo unapigia hapo kwny mbavu....siharishi sitapiki...yani nahisi kufaa natambaa jasho linatoka...mwili wote...nikasema sasa nipige simu nitafia ndani...lakini kabla sijapiga simu nikasema ninywe maji..sijui ndo ilikua dawa ilee...likapungua kuuma mpk kupoa..

Maumivu ya kujifungua ni hatari sanaaa...sema huwa tunavikwa ujasiri na Mungu...

#Hakuna kitu kwny mwili wa binadamu ambacho hakiumi...##
 
Maumivu ya skikio sijawai exprience vile yanauma balaa
 
Poleee sana.Mimi yalikuwa yote mawili sijui ningekuwa pekeyangu tu ingekuwaje .Ilifikia hatua nikawa nashikwa kupelekwa njee.Macho muhimu sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…