Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Woiiiii kashatuma msg huku, ataninyima nikijishaua. Sasa nan anataka anyimweeee na haka ka barid ka hapa mjini
Na nimeambiwa nfute nlichokiandika sema nimeshindwa futaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nyoooko sina mabalaa piem, sema kuna mwamba akisema naleta uwiiiiiiiiiiiiiii mtaniwaisha mzena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maana nitajipiga life ban mwenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tumaa hata asikutishee bhanaa.
PM yako kama iko wazi ntajarbu kutuma ila nkiwaza haka kabarid cha kuotea otea najitafakariii. Nkituma nawe ukimtumia inamaanisha kabarid ndo kangu mpaka mwezi wa nane
 
Nyoooko sina mabalaa piem, sema kuna mwamba akisema naleta uwiiiiiiiiiiiiiii mtaniwaisha mzena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maana nitajipiga life ban mwenyewe
🤣🤣🤣 raha sana
 
Cw tumeachana hivi talaka yako sijakupa?!! Nimepewa mpk za watu wangu wa karibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa niko single ready to mingle [emoji2222][emoji2222][emoji2222]

Safari hii chuma ninachoweka mtapoteana [emoji85][emoji85][emoji85]
tatizo mnapiga mizinga hamtulii😂
 
Azikute waaapi??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yeye anatafuta kuchachua humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu emu tuliaa, mbna unamkataa sanaa?? Kwann?? Muache atume bhanaa
 
Cw tumeachana hivi talaka yako sijakupa?!! Nimepewa mpk za watu wangu wa karibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa niko single ready to mingle [emoji2222][emoji2222][emoji2222]

Safari hii chuma ninachoweka mtapoteana [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yangu iko wapiiiiii???
 
tatizo mnapiga mizinga hamtulii[emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri sina njaa za kuhongwa!!!

Nina pesa za kutosha za kukulipia pale MUST bila kutegemea mkopo dogo,na nikakupangia apartment forest mpk unagraduate na ukitaka kurudi Dar nakukatia ticket Air Tz go n return bado pesa za kuwahonga pisi za kinyiha na kisafwa zote nakuwekea
 
Back
Top Bottom