Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

1. Tako
2. Tako
3. Tako
Akili zangu atatumia. Kikubwa anatoa mchezo na anaumudu.
 
Kiongozi huyo ndo mzuri SEMA kasoro yake Hana tako.
Akili ya mwanamke haijawahi kuwa na msaada wowote kwenye maisha ya mwanaume tofauti na kuwa na u much know mwingiiiii usio na faida Kwa mwanaume.
Mwanamke akijua kupika, kulea watoto, ku manage matumizi ya fedha, usafi na anakuheshimu na kutekeleza maagizo Yako basi inatosha kabisa.
Kingine cha muhimu japo sio lazima awe na tako mana ndio tiba ya stress za mihangaiko Yako on bed, lakini akili atatumia ya kwako na ndio mana mwanaume ni kichwa(akili) cha familia.
 
Huyu wangu ndo kabisaaa, mpaka mambo msingi ya responsibilities zake mpaka umkumbushe😂

Imagine mke hawezi kukufulia, usafi wa nyumba hawezi, nk.

Wanawake sometimes kuachwa mnajitakia wenyewe🙂
Hahaha, mie mchumba angu ksa usafi hakuna sa kumshinda,, ila sasa nae ni wale wale tu, ana kiswaswadu cha kuchezea game za nyoka😂🙆‍♀️,hajui dunia ya Instagram, wasap, etc.
Very unexposed
 
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Mlikutana siku mnafunga ndoa?
 
Umeeleza vizuri sana, tufungulie uzi kutujuza zaidi unaonekana ni mwerevu.
 
Maadamu mengine anatimiza shida ipo wapi, wengine wakikusimulia yao, YAKO yana nafuu,
 
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
su uliowa matako kuenjoy pulling ya cc 3500/liter😂
 
Kwa ulimwengu huu wa kucharuka heri ya huyo.
 
Huyu wangu ndo kabisaaa, mpaka mambo msingi ya responsibilities zake mpaka umkumbushe😂

Imagine mke hawezi kukufulia, usafi wa nyumba hawezi, nk.

Wanawake sometimes kuachwa mnajitakia wenyewe🙂
Siku hizi ni kama tumeoa dada wa Kazi, maana hawa ndio utimiza majukumu ya mke kwenye ndoa,mke anachojua ni kuchati na kukaa mguu pande tu.
Wanaogopa kuharibu makucha yao ya kuzimu.
 
Mwanamke anaolewa ili aje akutulize nafsi yako.... Kama na wewe hauna akili hapo ndio tatizo
 
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Angalia udhaifu wake kwa jicho chanya nakuhakikishia unatoboa.Kwani wewe ulitaka kuoa lecturer au mke wa kutengeneza familia? Ninahisi kichwa yako inafanana na nyanya chungu umbile lake au biringanya na nywele za kipilipili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…