Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

Dini ni kivuli cha kutawaliwa hao viongozi wenu wapo chini ya utawala!

Baadhi yenu kufunguka itawachukua muda sana haswa hivi vichwa vyetu vya kiafrika mtaliwa mno..
Nani ambaye hatawaliwi?
 
The only easy day was yesterday,life is meaningless brothers and sisters,just love your neiba,kusali na wenzako kijumuiya ni furaha,kama kuna changamoto yeyote kwenye jumuiya yako!! wewe kuwa shujaa wa kuleta mabadiliko na sio malalamiko! Shujaa akimbii bali ukimbiliwa.

Wengine tupo mbali na nyumbani tukitafuta amani ya wenzetu,tunatamani tupate angalau nafasi ya kufurahi na majirani zetu,ila wakati hauruhusu! Upweke tu ndio unatubusu! Uso wa MUNGU unaonekana kwa majirani zako kuliko kanisani kwako.
 
Kuna wakati nilitafakari kurudi jumuia. Nilimtafuta mwenyekiti nikamweleza nia yangu.

Akaniambia kwa kuwa alishanifuta kwenye register, basi niende akanipe maelekezo.

Maelekezo yenyewe alimuita Katibu ambaye alikuja na karatasi yenye list ya michango ya miaka mitatu. Kila mwaka ni laki na nusu, kwa hiyo, nilipe laki 4 na nusu ili niweze kuendelea na Jumuia.

Nilimwambia sawa. Sikutekeleza na jumuia siendi, maana sikumwelewa kabisa
 
Unaweza kuwa na point, ila uko totally wrong kwa kuyaleta huku badala uwapelekee wahusika, (M/Kiti wa Jumuiya ) ama paroko wako kabisa.
Pili, Kanisa Katoliki haliwezi kubadili utaratibu wake eti sababu ya mtu au watu wachache wazembe na wavivu na ma cowards kushindwa kuhudhuria jumuiyani na hivyo kutafuta visababu uchwara ambavyo vinaweza kupatikana popote kwenye kikundi cha watu.
Tatu, wewe ni coward na Popoma mkubwa 🤣☹😊
 
Tatizo jumuiya kila jumamosi zinarotate kwenye nyumba za waumini sasa kama mazingira yako machafu utaichukia tu jumuiya, boresha mazingira yako unapoishi acha kelele
😂😂😂😂😂 Ety uchafu jmn
 
Oteee oteee
 
Jumuiya yako sio jumuiya ya wengine semea yako. Yetu ina umoja upendo na mshikamano kuwa pamoja kwenye shida na raha
 
Mungu akubariki kwa somo na ushuhuda Mzuri.
 
1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.

2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha.

3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano
Haya yoote umesema ukweli mkuu wala haujadanganya chochote, anaepinga na apinge ila ukweli umewafikia Yaan ni ukweli na nusu mkuu yote haya nmeyaona, Jumuiya ilikua zamani miaka ya nyuma kulikua hakuna hizi habari za mamichango ya ajabu ajabu tulikua tunafurahia jumuiya lakini siku hizi jumuiya zimekua chungu mno michango haiishi

Yaan jumuiya kuna makaunta buku ya mamichango ya kila aina mpaka una data michango mfululizo tena sio kwamba ni michango ya hiari useme km nnayo ntatoa sina siwezi kutoa bali ni lazima uchangie na unakumbushwa deni kila jumuiya kwamba una deni
 
🤣🤣🤣wew jamaa
 
Ila kweny harusi unachangia vizur na Vijora vya laki laki🤣🤣🤣
 
Sasa unataka hela zitoke wapi?
 
Kumbe wakati mwingine data zinajiwasha zenyewe. Nikajua ni kujizima tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…