Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

Laki nne si Bora ukale mbuzi katoliki
 
Wanatubakia watoto wetu baada YA kushiba sadaka zetu.
 
Watawala!
Hakuna MwanaAdamu ambaye hatawaliwi.

Hakuna ambaye sio mtumwa.

Hata kile kinachoitwa "uhuru wa kifikra" ni utumwa. Ni mtu amekuwa mtumwa wa matamanio ya nafsi yake mwenyewe. Nao ni utumwa mbaya kabisa.
 
Kumbe ulizaliwa Agha Khan Hospital?

Ulichoandika kina Ukweli na Mantiki kabisa, Wao ndio wamekuwa watoa hukumu sikuhizi...yaani wanakuwa miungu watu

Hilo lipo hata kwa KKKT
Ninyi watu wa hovyo kabisa...au mmesahau kuwa ninyi ni chumvi!?
 
Hakuna MwanaAdamu ambaye hatawaliwi.

Hakuna ambaye sio mtumwa.

Hata kile kinachoitwa "uhuru wa kifikra" ni utumwa. Ni mtu amekuwa mtumwa wa matamanio ya nafsi yake mwenyewe. Nao ni utumwa mbaya kabisa.
Mkuu hivi nitumie lugha ipi uelewa komenti yangu rahisi kuelezeka..?
Nachopinga hapa ni utumwa wa kidini yapo mambo naturally tayari tumeshakuwa na utumwa nayo!.. lakini Sasa imekuwa too much hata ktk vitu vya mtu kujitoa kirahisi bado anasumbuka navyo!.
 
u
Haya uliyoyasema ni changamoto kwenye jumuiya nyingi, lakini kuyasema huku hayawafikii walengwa. Hivyo basi nakushauri ujitahidi uende jumamosi ijayo, kikifika kipengere cha kutafakari NENO mwaga hizi hoja hapo hapo kwenye jumuiya.
umejuaje kama huku haiwafikii walengwa,je kama huku ndio inawafikia walengwa wengi zaidi maelfu kwa maelfu kuliko angeenda kwa kiongozi mmoja
 
Tuko wengi, ulichoandika kina ukweli 100% , nina miaka 3 sasa cjaenda huko jumuiya na sitaki waje kwangu
Hayo unayoyaona kama vikwazo au maboresho wewe kama mkristo unadhani ni wajibu wa nani?
 
Dini ni kifungo kibaya sana kuliko hata gereza.
Ujinga tunaodhani na kile kinachopiganiwa na "Umagharibi" kama UHURU...ndio shetani amekitumia kuangamiza wengi

Uhuru sio kula chakula tuu na kunywa chochote eti kwa sababu tuu una pesa,uhuru ni kuwa kwenye nafasi ya kufanya yote unayoyaweza kupita mipaka kama fedha na muda kwa maana ya rasilimali lakini ukaweza kuchagua kutokufanya

Mfano kweli nina ashiki/nyege...mke wangu hayuko tayari kwa tendo la ndoa...uhuru sio kuwa naweza kwenda kununua malaya badala yake uhuru ni kuutawala mwili na kujikatalia kiroho safi

Sio kwa sababu naweza kujipakulia chakula basi nipakue nile mpaka nivimbiwe ...uhuru ni kuamua kuchagua KUFUNGA...hata kama nina uwezo wa kula chochote

DINI zinatusaidia hayo kwa kutukumbusha kuwa mahangaiko yetu juu ya haya ya mwilini ni UBATILI na ushahidi upo tukutwapo na mauti

Shika vema imani yako ya KIISLAMU au KIKRISTO na yote unayo ona kuwa dhamiri yako inajengwa katika hofu ya Mungu na kuheshimu utu wako na utu wa wengine

Kumbuka mambo mawili haya ELIMU na IMANI yana mchango mkubwa katika kustaarabika kwa mtu
 
Kwa nini uhuru wa mtu wa kukataa kifungo cha dini unauita uhuru wa kimagharibi ?
 
Umewahi kutoa mchango upi kati ya hiyo na lini hukutoa ukaletewa SAMASI
 
Kama hawataelewa na huu ujumbe hata angekuja MUSA na HAROUN hawataelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…