Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki nne si Bora ukale mbuzi katolikiKuna wakati nilitafakari kurudi jumuia. Nilimtafuta mwenyekiti nikamweleza nia yangu.
Akaniambia kwa kuwa alishanifuta kwenye register, basi niende akanipe maelekezo.
Maelekezo yenyewe alimuita Katibu ambaye alikuja na karatasi yenye list ya michango ya miaka mitatu. Kila mwaka ni laki na nusu, kwa hiyo, nilipe laki 4 na nusu ili niweze kuendelea na Jumuia.
Nilimwambia sawa. Sikutekeleza na jumuia siendi, maana sikumwelewa kabisa
Na Sisi tuliopanga vipiTatizo jumuiya kila jumamosi zinarotate kwenye nyumba za waumini sasa kama mazingira yako machafu utaichukia tu jumuiya, boresha mazingira yako unapoishi acha kelele
Wanatubakia watoto wetu baada YA kushiba sadaka zetu.Michango imekuwa mingi sana Kanisa Katoliki..
Mbaya zaidi ukikaa karibu na hao makuhani unaweza acha kutoa kabisa..
Kuna sadaka ya kawaida ya jumuiya
Kuna tegemeza jimbo
Kuna tegemeza parokia
Kuna mavuno
Kuna zaka
Kuna mchango wa ujenzi
Kuna mchango wa UWAKA/ WAWATA
kuna mchango wa gari la paroko
Michango ni bandika bandua
Hakuna MwanaAdamu ambaye hatawaliwi.Watawala!
Ole wako uwe unaenda sasa...Yan mwanangu hizi jumuiya zetu ni kamzozo balaa 🙌
Atakujua hakikaKwa watu walee atakujua wewe ni muumn ??
5 na 6 tu ndio nazisemea..Ole wako uwe unaenda sasa...
Ninyi watu wa hovyo kabisa...au mmesahau kuwa ninyi ni chumvi!?Kumbe ulizaliwa Agha Khan Hospital?
Ulichoandika kina Ukweli na Mantiki kabisa, Wao ndio wamekuwa watoa hukumu sikuhizi...yaani wanakuwa miungu watu
Hilo lipo hata kwa KKKT
Mambo ya rrrrr kila uendapo...5 na 6 tu ndio nazisemea..
Hizo nyingine OP ana yake.. me sijawahi kunotice.
Mkuu hivi nitumie lugha ipi uelewa komenti yangu rahisi kuelezeka..?Hakuna MwanaAdamu ambaye hatawaliwi.
Hakuna ambaye sio mtumwa.
Hata kile kinachoitwa "uhuru wa kifikra" ni utumwa. Ni mtu amekuwa mtumwa wa matamanio ya nafsi yake mwenyewe. Nao ni utumwa mbaya kabisa.
umejuaje kama huku haiwafikii walengwa,je kama huku ndio inawafikia walengwa wengi zaidi maelfu kwa maelfu kuliko angeenda kwa kiongozi mmojaHaya uliyoyasema ni changamoto kwenye jumuiya nyingi, lakini kuyasema huku hayawafikii walengwa. Hivyo basi nakushauri ujitahidi uende jumamosi ijayo, kikifika kipengere cha kutafakari NENO mwaga hizi hoja hapo hapo kwenye jumuiya.
“Ukomunisti/Ujamaa ni imani” ukifanya hiki kitu lazima uwe kifungoni.Kuliko Ukomunisti?
Hayo unayoyaona kama vikwazo au maboresho wewe kama mkristo unadhani ni wajibu wa nani?Tuko wengi, ulichoandika kina ukweli 100% , nina miaka 3 sasa cjaenda huko jumuiya na sitaki waje kwangu
Ujinga tunaodhani na kile kinachopiganiwa na "Umagharibi" kama UHURU...ndio shetani amekitumia kuangamiza wengiDini ni kifungo kibaya sana kuliko hata gereza.
Muombe Mungu...tafakari ujue jinsi ulivyo TATIZOYaani Jumuiya hata mimi siendagi hii ingetafutiwa namna nyingine aisee imekuwa tatizo sana
Kwa nini uhuru wa mtu wa kukataa kifungo cha dini unauita uhuru wa kimagharibi ?Ujinga tunaodhani na kile kinachopiganiwa na "Umagharibi" kama UHURU...ndio shetani amekitumia kuangamiza wengi
Uhuru sio kula chakula tuu na kunywa chochote eti kwa sababu tuu una pesa,uhuru ni kuwa kwenye nafasi ya kufanya yote unayoyaweza kupita mipaka kama fedha na muda kwa maana ya rasilimali lakini ukaweza kuchagua kutokufanya
Mfano kweli nina ashiki/nyege...mke wangu hayuko tayari kwa tendo la ndoa...uhuru sio kuwa naweza kwenda kununua malaya badala yake uhuru ni kuutawala mwili na kujikatalia kiroho safi
Sio kwa sababu naweza kujipakulia chakula basi nipakue nile mpaka nivimbiwe ...uhuru ni kuamua kuchagua KUFUNGA...hata kama nina uwezo wa kula chochote
DINI zinatusaidia hayo kwa kutukumbusha kuwa mahangaiko yetu juu ya haya ya mwilini ni UBATILI na ushahidi upo tukutwapo na mauti
Shika vema imani yako ya KIISLAMU au KIKRISTO na yote unayo ona kuwa dhamiri yako inajengwa katika hofu ya Mungu na kuheshimu utu wako na utu wa wengine
Kumbuka mambo mawili haya ELIMU na IMANI yana mchango mkubwa katika kustaarabika kwa mtu
Umewahi kutoa mchango upi kati ya hiyo na lini hukutoa ukaletewa SAMASIMichango imekuwa mingi sana Kanisa Katoliki..
Mbaya zaidi ukikaa karibu na hao makuhani unaweza acha kutoa kabisa..
Kuna sadaka ya kawaida ya jumuiya
Kuna tegemeza jimbo
Kuna tegemeza parokia
Kuna mavuno
Kuna zaka
Kuna mchango wa ujenzi
Kuna mchango wa UWAKA/ WAWATA
kuna mchango wa gari la paroko
Michango ni bandika bandua
Kama hawataelewa na huu ujumbe hata angekuja MUSA na HAROUN hawataelewaBAHATI MBAYA HAKUNA NAMNA!
AMRI ZA KANISA LAKO ZINASEMAJE EBU TUTAJIE tuchambue kutoka kwenye mkataba wako na kanisa ambazo ni AMRI ZA KANISA!
Kingine nikushauri jifunze kupuuzia maneno! Wakati mwingi maneno huwa hayana maana kwa anayeyapuuza!
Waaache wachunguze wewe sali na imani yako jali maisha yako! Kama unalala chini pouw tu kwani nini, kama ni fukara si ni fukara tu kwani uongo! Ujue wakati mwingine kujikubali na hali yako ni tiba!
Wewe ni masikini halafu unataka watu wakuone tajili kweli?
Mimi nilihamia kwangu ikiwa pagala yaani juu HAKUNA kenchi wala bati, na niliona poa tu amani tele na watu walifurahi sana kuja kwangu kuliko kwingine, vikao vingi vya jumuiya walipendekeza wakutanie kwangu wakati palikuwa pagala tupu, palikuwa pa kimaskini sana!
Kila baada ya sala waliomba Mungu anijalie nikamilishe ujenzi! BAADAE NEEMA Ilikuja pagala langu ndiyo miongoni mwa ghorofa na nyumba bora mtaani!
Ushauri wangu! KUJISTUKIA NI UGONJWA WA AKILI MBAYA SANA! Waache waseme, watakuteta watatu au wanne lakini kumi watakuombea mafanikio! ViMANENO HAVIEPUKIKI NDUGU NDO JAMII YETU JIKUBALI
Uzuri jumuiya wakigundua maisha magumu hata michango utachanga KWA uwezo wako mpndwa!
1. Jikubali nyumba ya Kobe ni mgongo wake.
2. Masengenyo iwe motisha tambua kesho INA heli na nawe
3. Michango ya jumuiya haimfungi mtu jela toa KWA Moyo kadri ya uwezo
4. Fuata AMRI za kanisa lako maana ndiyo mkataba wa ushirika wako
5. Amini HAKUNA faida yoyote hata wakikusifia haiongezi kitu kwenye akaunti yako utabakia ni wewe ulivyo
6. Sali KWA imani yako
7. Shiriki kwa kuimarisha umoja
8. Hakuna asiyesemwa! Hata yesu walimchunguza kwao kuna zizi la ng'ombe wewe nani usichunguzwe ndugu!
SALI BHANA HAYO MENGINE NI KUTAFTA KUJIHALALISHIA UJINGA! ACHANA NAYO TAZAMA USO WA MUNGU! YA WANADAMU HAYAISHI