Mwaka 47??πUmewataja Les Wanyika pamoja na Msondo Ngoma Baba ya Muziki, umefanya nichukue miwani yangu niangalie mara mbili mbili picha ya mrembo mmoja niliyekutana naye Nairobi Mwaka 47 wakati tumeenda Disko (Club) kuziona hizo Bendi mbili π€
Those were days π€π
Mkuu Wazee tumekula chumvi nyingi mjue π€ πMwaka 47??π
JaffaraiKuna yule mmoja alikuwa wateule na kina J moo na Mchizi mox.
Alikuwa anatoka na Shyrose Banji, aysee jamaa alikuwa hajui hadi anakera,
ZuchuMimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.
Zuchu ndo msanii Bora wa kike tangu Tanzania ianze [emoji2957] ulibisha utakua mchawi [emoji3061][emoji88][emoji23][emoji23]Zuchu
Me too old timer hahaBongo fleva yote ya kuanzia 2010s sijawahi juielewa. Ndio maana utakuta nasikiliza zangu Jay Mo, Chid Benz, Prof Jay, Watengwa, Solo, Nature baasi
Vp kuhusu lady jaydeeZuchu ndo msanii Bora wa kike tangu Tanzania ianze [emoji2957] ulibisha utakua mchawi [emoji3061][emoji88][emoji23][emoji23]
Zuchu n boraVp kuhusu lady jaydee
Nitajie nyimbo ya zuchu yenye maana ukiachana na "naringa"Zuchu n bora
Nisamehe, Zawadi, Fire, Mwambieni, Nyumba Ndogo, Sukari na Utaniua (the best song)Nitajie nyimbo ya zuchu yenye maana ukiachana na "naringa"
Kuna ile maneno ya busaraMikononi mwa polisi,wanakuita sugu,dar es salaam, ndani ya bongo,kwa penzi,makini na fani,chini ya miaka 18,Hali halisi,deiwaka,