Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

Umewataja Les Wanyika pamoja na Msondo Ngoma Baba ya Muziki, umefanya nichukue miwani yangu niangalie mara mbili mbili picha ya mrembo mmoja niliyekutana naye Nairobi Mwaka 47 wakati tumeenda Disko (Club) kuziona hizo Bendi mbili 🤗

Those were days 🤗🙌
Mwaka 47??😃
 
Jaffarai yule jamaa akianza tu kuchana unajua tu hapa hamna kitu.... Niko bize ni ngoma pekee alijitahidi...
 
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.
Zuchu
 
Rayvanny sijawahi kumuelewa kabisa.
Nyimbo zake nazozipa sikio ni kwetu na Te quielo aliyoimba na Marioo ila sipendi hata kuskia nyimbo zake.
 
Wengi tuuu, ila Young Lunya ni kinara wao kwenye rap, kwa waimbaj wanaongozwa na D'voice.
 
Back
Top Bottom