Kuna yule mmoja alikuwa wateule na kina J moo na Mchizi mox.
Alikuwa anatoka na Shyrose Banji, aysee jamaa alikuwa hajui hadi anakera,
Marahaba Mkuu πIla we mzee umenichekesha sana π
Kwahiyo bila miwani uoni ?
Shikamoo babu.
Yeah ilikua burudani sana kuanzia watoto hadi wazee mnafurahia.Au Athumani akishalewa.. lewa....anashindwa kujielewa....lewa
π kwa umri huo bado unageuka? Sasa unageukia nini au ndio uzee mwisho ukipishana na wanaume.Marahaba Mkuu π
Bila miwani hata nikipishana na PisiKali barabarani siwezi kugeuka kuiangalia π
Tangu tupewe maelekezo pale Eden kwamba Wanawake ni mapambo ya Dunia, siachi kuwaangaliaπ kwa umri huo bado unageuka? Sasa unageukia nini au ndio uzee mwisho ukipishana na wanaume.
Mkaimba na mapambio kabisa basi ndio maana wazee mnatuzidi kete vijana, maana kasi ya mabinti kupenda wazee ni kubwa mno.Tangu tupewe maelekezo pale Eden kwamba Wanawake ni mapambo ya Dunia, siachi kuwaangalia
Mwana FA aliwahi kusema "Mimi na Mabinti damu damu...*
Baadaye Wazee tukatunga ule wimbo rangi ya chungwa kuendelea kusifu uumbaji π€
GK nililipenda sana Goma lake Ntakufaje. Hadi leo nikilisikia linaclick medula.πππππππIla wasanii wa zamani kila mtu alikuwa na staili yake ya kipekee.
Kuna Crazy Gk,D knob,Kali P na yule mwingine jina nimemsahau aliimba nyimbo ya Nampenda bibi kikongwe hawa jamaa ilikuwa nikisikiliza nyimbo zao nilikuwa nacheka sana hadi nikawa addicted nazo bila ya kutarajia
Wewe kupenda kwako utozi ndo kunafanya uone Jux anajua.Mkuu huujui mziki
Jux? Labda huzijui kazi zake.
There's something about FA aisee, binafsi sio shabiki yake, personality and stuff. ila nazipenda nyimbo zake zote, hata zile alizotoa nikiwa bado mdogo. Mi ni shabiki wa music wake at large.Nadhani kwa sababu AY huwa hatoi hits kwa muda mrefu tofauti na FA ambaye kila akirudi anasimamisha mji..
Ila AY nina nyimbo nyingi tu nazikubali, toka Raha tu, yule hadi point ya Zigo
Hata mimi nilikuwa nazipenda hizo nyimbo na nyingine ya Gk inaitwa Ama zangu ama zao kuna mstari mmoja ilikuwa nikiusikia lazima nitabasamu huo mstari unasema"Watoto wadogo mkitoa nyimbo moja mnajiona wakina Pdiddy,pombe na nyinyi,mademu kibao" In king crazy Gk's voiceπππGK nililipenda sana Goma lake Ntakufaje. Hadi leo nikilisikia linaclick medula.
D knob na sauti ya Gharama
Kali P na imekaa vibaya
Picco wa kikongwe ndo sikumuelewaga kabisa.
Jafarai.Kuna yule mmoja alikuwa wateule na kina J moo na Mchizi mox.
Alikuwa anatoka na Shyrose Banji, aysee jamaa alikuwa hajui hadi anakera,